JamiiForums Usiku wa manane


 
Huyo Bantu Lady kashindwa hata kuingia ndani, kalala mlangoni. Mzee wa kupambania ni mkabaji, anaishi kwa nguvu za macho na mikono, mtaji mbio. Mida hii utamkuta daraja la mfugale,anategea walevi πŸ˜…
Yap ndo zile pigo za panga mkononi, roho begani. Ukipata fresh ukidakwa ndo imeisha iyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…