Ivi mkuu ni kweli maskini faraja yake ni sx?... Maana mtu ana mawazo kibao home hapasomekiii na bado ana mchepukoπππ rich people huo muda hawanaga et au imekaaje hii.. ππWanalala usingizi mtamu isipokua sio masaa mengi hahaha,Sasa wakina sisi haujui kesho kazini unaendaje,,kucheki unga uko robo,ukicheki mchepuko anakuambia ,"bby usisahau kutuma na ya kutolea"
Kama vile sema Bantu Lady kipi nikufanyie ??Anakuwaga na wivu, hataki mashemeji huyo ππ π π π
Umewaza kama mimi. Yaani mwanaume, hata awe na kipato cha kuweza kula mlo wa siku moja. Mtaa wa pili ana mchepuko. Huwa siwaelewi wanaume...Ivi mkuu ni kweli maskini faraja yake ni sx?... Maana mtu ana mawazo kibao home hapasomekiii na bado ana mchepukoπππ rich people huo muda hawanaga et au imekaaje hii.. ππ
Maskini starehe yake ngono,ata kama Ana kitu ,ngono ni basic need kwake hahah,kile akipatacho lazima budget ya kutiana iwepo,wakati tajiri anawaza kuongeza zaidi na zaidi ela iingie kwenye maendeleoIvi mkuu ni kweli maskini faraja yake ni sx?... Maana mtu ana mawazo kibao home hapasomekiii na bado ana mchepukoπππ rich people huo muda hawanaga et au imekaaje hii.. ππ
Tenaaa π π π π π π π
Io kweli asee.. β πMaskini starehe yake ngono,ata kama Ana kitu ,ngono ni basic need kwake hahah,kile akipatacho lazima budget ya kutiana iwepo,wakati tajiri anawaza kuongeza zaidi na zaidi ela iingie kwenye maendeleo
Yamekua haya mara hiiiπππDishi langu lime shayumba, naanza hivii Bantu Lady and Dahan
Unalia nini, wakati Bantu Lady na Dahan wameshakuacha
Intelligent usilazimisheee, utazeeka vibaya
Wasikubabaishe, umeachwa Intel kubali, kubali. Penzi kiza kinene kiroho mbaya, mmenitenda Sina budi kuretire
KumekuchaYamekua haya mara hiiiπππ
Bora ata katoa notification kwamba mambo yameanza kukatakataπππKumekucha
ππππππππDuuhHuu Uzi baba,mwaka juzi Kuna siku usiku nilikosa usingizi ,nikapita apa nikaopoa binti,tukazama pm ,kumuuliza mbona haulali mpaka saivi,si nikadanganya Niko Venezuela muda huu uku ni mchana,penzi lilivyokolea si tukabadilishana namba ya simu,duh nikajisahau ,kupiga nikapokea ,Mara pap wewe si umesema uko Venezuela,niliumbuka sitasahau.na penzi likaishia Apo Apo Bila kuonana
Niherehere kiliniisha ,nikatoka nduki hahahππππππππDuuh
Penzi lilivokolea ukasahau uongo mkuuπππHuu Uzi baba,mwaka juzi Kuna siku usiku nilikosa usingizi ,nikapita apa nikaopoa binti,tukazama pm ,kumuuliza mbona haulali mpaka saivi,si nikadanganya Niko Venezuela muda huu uku ni mchana,penzi lilivyokolea si tukabadilishana namba ya simu,duh nikajisahau ,kupiga nikapokea ,Mara pap wewe si umesema uko Venezuela,niliumbuka sitasahau.na penzi likaishia Apo Apo Bila kuonana