Chama cha Kutetea Haki za Wanaume kipo hapa haya jieleze kimekutokea nini umechapiwa, umegongewa au unapigwa na mkeo?2:27 sasa
wazee nasisitiza KATAA NDOA
YAMENIKUTA KIJANA MIMIπππ
AISEE NI BALAA USINGIZI HAUJINgoja wajeee.. ππ
SIJAOA ILA YALONIKUTA NI NOMA ACHA TU NINIKAZE KIUME KWANZA MAAAN KUNA MUDA NAWAZA MAAMUZI YA KWENDA KUMCHOMA MTU KISU AISEEπChama cha Kutetea Haki za Wanaume kipo hapa haya jieleze kimekutokea nini umechapiwa, umegongewa au unapigwa na mkeo?
02:35
AMEKUBAKA?SIJAOA ILA YALONIKUTA NI NOMA ACHA TU NINIKAZE KIUME KWANZA MAAAN KUNA MUDA NAWAZA MAAMUZI YA KWENDA KUMCHOMA MTU KISU AISEEπ
2;37
HAPANA NIMEPIGWA NA KITU KIZITO MKUUπ MOYO UNANIUMA SANA QMQMKeAMEKUBAKA?
02:39
Ushalala Poti?02:02 mi Sina time ya kupoteza, ngoma ya mtu siwezi cheza.
So usiponiona usiulize, jua nipo bize
Napambana sio kwa ubaya.
.The great Intelligent businessman was damn hereπͺπͺ
Poti amesinzia lindoniUshalala Poti?
02:44
Umeuziwa mbuzi kwenye kiloba au imekuaje umepigwa mahari yako mkeo kaolewa na mtu mwingine?HAPANA NIMEPIGWA NA KITU KIZITO MKUUπ MOYO UNANIUMA SANA QMQMKe
2:43
Dah mkuu usintoe damu acha nizime data tu kwanza ππUmeuziwa mbuzi kwenye kiloba au imekuaje umepigwa mahari yako mkeo kaolewa na mtu mwingine?
02:45
Oshey mr [emoji383]2:27 sasa
wazee nasisitiza KATAA NDOA
YAMENIKUTA KIJANA MIMI[emoji24][emoji24][emoji24]
Mwanaume unabakwaje tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]AMEKUBAKA?
02:39
Sasa umekuja kutuambia yaninii hukuu kama hutaki elezeaπππDah mkuu usintoe damu acha nizime data tu kwanza ππ
we elewa nimepigwa na kitu kizito ipo sku nitahadithia humu kwa sasa sipo sawa kabsa siku yngu ya jana ilikua mbaya kabsa
2:47
Upendi kuoga unazani utapata usingizi hapo.... π€π€π€π€π€Yaani sijui kwann usingizi hauji π π π π