SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Arsenal tunawasubiria 26/4 tukawapakate vizuri pale etihaf stadium watoto wadogo wacha wajiliwaze kwa hii miezi miwili maana tukishikilia usukani may ndo kwishnei 😹😹At least Arsenal alirudisha furaha lakini Simba FC akanipokonya tena. Wacha nipambane lindoni hapa.
Bantu Lady najua wanicheka kichinichini huko ulipo😭
Bro achaa, Mpira tumecheza mashambulizi tumefanya lakini waaap. Wale warabu walikuwa watulivu uwanja mzima, wakupata mpira wanaulinda kwa nguvu zote pass zakueleweka na wakifika kwenye 18 hawafanyi makosa Kama ya Simba tuliokosa utulivuGame ya Simba sikuicheki. Shida ilikuwa wapi mpaka tunakula tatu?
Hili liko wazi Arsenal kwa Man City ya Gadiola hatufurukuti😭. But we still have a chanceArsenal tunawasubiria 26/4 tukawapakate vizuri pale etihaf stadium watoto wadogo wacha wajiliwaze kwa hii miezi miwili maana tukishikilia usukani may ndo kwishnei 😹😹
Tatizo lilelile kama la game iliyopita poor finishing. Kocha ana homework hapo kurekebisha hilo tatizoBro achaa, Mpira tumecheza mashambulizi tumefanya lakini waaap. Wale warabu walikuwa watulivu uwanja mzima, wakupata mpira wanaulinda kwa nguvu zote pass zakueleweka na wakifika kwenye 18 hawafanyi makosa Kama ya Simba tuliokosa utulivu
Uwanja ni wetu lkn tukakosa utulivu, tunacheza Kwa papara utazani tupo ugenini.Bro achaa, Mpira tumecheza mashambulizi tumefanya lakini waaap. Wale warabu walikuwa watulivu uwanja mzima, wakupata mpira wanaulinda kwa nguvu zote pass zakueleweka na wakifika kwenye 18 hawafanyi makosa Kama ya Simba tuliokosa utulivu
Hili lipo wazi alafu yule dogo Sakho Kuna siku kanafurahisha Kuna siku kanakosa utulivu kabisa. Bora kapombe aliyekuwa akijaribu kuleta mipira Kati though ilikosa umalizoaji.Tatizo lilelile kama la game iliyopita poor finishing. Kocha ana homework hapo kurekebisha hilo tatizo
Kwa hiyo jamaa walituzidi kila safuUwanja ni wetu lkn tukakosa utulivu, tunacheza Kwa papara utazani tupo ugenini.
Wale jamaa wako vzr, safu zote kianzoa difender hadi forward zao.
Jamaa wametulia na hata tukienda kwao mh.....🤷Uwanja ni wetu lkn tukakosa utulivu, tunacheza Kwa papara utazani tupo ugenini.
Wale jamaa wako vzr, safu zote kianzoa difender hadi forward zao.
Show me de way alikua Katika kiwango kuliko wengne woteeHili lipo wazi alafu yule dogo Sakho Kuna siku kanafurahisha Kuna siku kanakosa utulivu kabisa. Bora kapombe aliyekuwa akijaribu kuleta mipira Kati though ilikosa umalizoaji.
Wale jamaa wako vizuri kila idara, unadhani Yanga alivyokufa 6-0 na kuwapiga Vipers 5-0 wanabahatisha? Ohoooo🤣🤣🤣🙌Kwa hiyo jamaa walituzidi kila safu
Sakho maji kujaa maji kupwaa. Anahitaji utulivuHili lipo wazi alafu yule dogo Sakho Kuna siku kanafurahisha Kuna siku kanakosa utulivu kabisa. Bora kapombe aliyekuwa akijaribu kuleta mipira Kati though ilikosa umalizoaji.
Wanajua wale 🤣🤣🤣Wale jamaa wako vizuri kila idara, unadhani Yanga alivyokufa 6-0 na kuwapiga Vipers 5-0 wanabahatisha? Ohoooo🤣🤣🤣🙌
Tatizo kanacheza na jukwaa baada ya coordination na wenzake uwanjani. Yaani kakipata pass karibu na 18 hakainui macho kutazama mwenzake aliye kwenye position nzuri ili nayeagawe upendoSakho maji kujaa maji kupwaa. Anahitaji utulivu
Dogo namkubali sanaShow me de way alikua Katika kiwango kuliko wengne wotee
Hakuna pahala tumewazidi, na Wana tumia akili sio miguvu.Kwa hiyo jamaa walituzidi kila safu
All things are being regulated under the empire. Who's there to go against it?02:12 east and west, my empire is the best
Wapo jirani zetu vipers, hao tujirahid njendani,Tukubaliane tu ndugu zangu kuwa mwisho wetu awamu hii ni makundi. Mpaka sasa tuna nil point😭🙌
Hahaha hao hatuchekani bro🤣🤣Wapo jirani zetu vipers, hao tujirahid njendani,