Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ushaitwa rafiki, so cheza kwa kutuliaaaUliacha data on all night long? I missed youπΉ
Siku hizi naacha tu On sina jinsi. Mimi zaidi umemisika pia πUliacha data on all night long? I missed youπΉ
Wala usiwe na hofu nami, wala siingilii pale mwenzangu alipokwishapendwa. So stay stable and safe mkuuπUshaitwa rafiki, so cheza kwa kutuliaaa
Kutoka kuwa my bodyguard mpk nini tena? πππππ halafu ungejua kuna sehemu mwenye mali alikuona, unaninyemelea akapitisha like nijue ameona ohooo...Ko siku hizi nimekuwa ka sanamu Bantu Lady ??
Basi utakuwa unaweka bundle la mwezi mzima na notifications on maana so kwakukutaja tu and all over the suddenly you just showed up over hereπSiku hizi naacha tu On sina jinsi. Mimi zaidi umemisika pia π
Asikutishe huyo wake Dahan tu. Mimi boss wake huyo Intelligent businessmanWala usiwe na hofu nami, wala siingilii pale mwenzangu alipokwishapendwa. So stay stable and safe mkuuπ
Dahan umekabidhiwa jimbo so feel free bhanaπ€£π€£Asikutishe huyo wake Dahan tu. Mimi boss wake huyo Intelligent businessman
Asante kwa ushauri best. Nikimaloza hapa tu nazima data. Ubarikiwe, nilikuwa nazima sema ile ishu inabidi niache On. But kwa ushauri huu nitazima tu.Basi utakuwa unaweka bundle la mwezi mzima na notifications on maana so kwakukutaja tu and all over the suddenly you just showed up over hereπ
Kwa maisha ya battery ya simu yako uwe unazima tu data mpaka pale utakapotaka kuitumia. Ni ushauri tu lakini
Mie tenaaa na kijana wa hovyoooππππ
Ana wivuuuu alafu hana π΅ ππππau basi Intelligent businessman twende km zote mtu wangπππ,,, π΅ utatumia zangu na Mwachiluwi. ...Wala usiwe na hofu nami, wala siingilii pale mwenzangu alipokwishapendwa. So stay stable and safe mkuuπ
Don't tell me things are ain't yet settled btn you guysπ€ calls za kawaida si zipo kumualert mtu kuwa "washa data". Any way fanya vile uonavyo ni vyema zaidi my dearAsante kwa ushauri best. Nikimaloza hapa tu nazima data. Ubarikiwe, nilikuwa nazima sema ile ishu inabidi niache On. But kwa ushauri huu nitazima tu.
Inatoshaaaa nitafia hapa njeeKutoka kuwa my bodyguard mpk nini tena? πππππ halafu ungejua kuna sehemu mwenye mali alikuona, unaninyemelea akapitisha like nijue ameona ohooo...
Dada upo on tapatalkππππNaombeni mtu aview my profile, aone kama ananiona niko wapi kwa sasa, nikimaanisha jukwaa gani πππππ
Hamna kituuuNaombeni mtu aview my profile, aone kama ananiona niko wapi kwa sasa, nikimaanisha jukwaa gani πππππ
KipoooππππHamna kituuu
Kila kitu kiko poa kabisa sasa, yeah bora kualeart kwa simu ya kawaida. Lazima nizime ndiyo maana bundle la mwezi natumia wiki π€π€π€π€Don't tell me things are ain't yet settled btn you guysπ€ calls za kawaida si zipo kumualert mtu kuwa "washa data". Any way fanya vile uonavyo ni vyema zaidi my dear
Eeehh, utamtambuaje agent wa mizagamuano, ana bichwa dogo Kama nazi ya bukuAna wivuuuu alafu hana π΅ ππππau basi Intelligent businessman twende km zote mtu wangπππ,,, π΅ utatumia zangu na Mwachiluwi. ...
Leo mrembo umekunywa nini? ππππππππDada upo on tapatalkππππ
Umenikana mara ya 1Asikutishe huyo wake Dahan tu. Mimi boss wake huyo Intelligent businessman