National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Watu wawili alafu we peke ako ? Yani 3some au akili zangu tuIm single madam.. Waliniacha jana wote Intelligent businessman na mwenzie Mwachiluwi πππ... Sijui ndo bado wako na uchovu hadi kuchelewa lindoπ π
Hebu punguza Basi, Mbona we Bantu Lady ukinipeaga sisemi sanaπππππ watu wanawekana na kupeana kama kawa, wewe tu Ankol ππππ
Sa wee unasema kichwa tuuu kwan ina mabega ioππππ toa yoteeπππAfu usiwe unaibana maiki yangu Sana, utafanya niwe nafika mapema
Mimi na uzee huu tena... sikumbuki ni mwaka gani niliuza mechi πππππHebu punguza Basi, Mbona we Bantu Lady ukinipeaga sisemi sana
Una nyota dahHebu punguza Basi, Mbona we Bantu Lady ukinipeaga sisemi sana
Hapa tunapandishana joto π π π π na badae ni siku... nijipoze na maji baridiSa wee unasema kichwa tuuu kwan ina mabega ioππππ toa yoteeπππ
Mtamu sana huyu
ππππ Half american njoo ujibu hukuπ π π πWatu wawili alafu we peke ako ? Yani 3some au akili zangu tu
Bantu Lady si uliniambia unanipa experience, afu nizoeshe hivyo hivyo ili Dahan asiwe ananizidi ufundiMimi na uzee huu tena... sikumbuki ni mwaka gani niliuza mechi πππππ
Sikufuatilia nilikua chini ya jiweAaaaah, hata Papa Francis alipoongoza ibada ya kufungua mwaka 2023 alitaja jina langu, au hukusikia ???
Hivi yupo bado??Actually, hata Kadinali wa kwanza mweuzi barani Afrika alikuwa ni Mhaya, Mzee wangu Laurian Rugambwa.
π€π€π€ aunt unalala peke yako, angalia Intelligent businessman asije vunja geti, atake mlale woteUliyeweka hilo joka futa bana...
Wengine tunalala wenyewe na tunashtuka shtuka usiku. Usiku wa manane huu na hayo mavitu wapi na wapi? Aah
Halafu keshaingia yuko chini ya kitanda chako....Uliyeweka hilo joka futa bana...
Wengine tunalala wenyewe na tunashtuka shtuka usiku. Usiku wa manane huu na hayo mavitu wapi na wapi? Aah
Mh Bantu Lady hebu sogea huko usije ibana maiki yanguUliyeweka hilo joka futa bana...
Wengine tunalala wenyewe na tunashtuka shtuka usiku. Usiku wa manane huu na hayo mavitu wapi na wapi? Aah
Sema una mazuri jamaa anafaidi , acha atambeππππ Half american njoo ujibu hukuπ π π π
Halafu ndiyo mlinzi wangu huyo Intelligent businessman πππππ€π€π€ aunt unalala peke yako, angalia Intelligent businessman asije vunja geti, atake mlale wote
31 December 2022 nilimkanyaga Dodoma. Nikagundua binaadamu twaweza kupaa kumbeπMtamu sana huyu
Sasa ana balance vipi hapo π«’π«’ huku Dahan huko wewe.. watu wana mazaliHalafu ndiyo mlinzi wangu huyo Intelligent businessman ππππ