JamiiForums Usiku wa manane

Hivi bro ujasiri wa kununua mademu, huwa mnautoa wapi???, Maana Jana nilikuwa sehemu flani na mabroo dah
mbona simple tu mkuu, alafu jua wanawake kariba wengi siku hizi wanauza, ila style za kuuza ndio tofauti.. alie mpenzi wa mtu asubuhi jioni anasimama Road kuuza, na alie mke wa mtu nyumbani ofisi anauza
 
Uzi hawezi kuharibika sherehe ndiyo watu,uzi ukiwa na watu ina maana umechangamka usiweke makasiriko mpaka huingii tena humu,mnataka mbaki wawili tu kiza kinene kikiingia ,tufurahie tu
 
Mwenye sikio na asikie neno bantu lady awaambia wana Jf usiku wa manane
 
Uzi hawezi kuharibika sherehe ndiyo watu,uzi ukiwa na watu ina maana umechangamka usiweke makasiriko mpaka huingii tena humu,mnataka mbaki wawili tu kiza kinene kikiingia ,tufurahie tu
Nashangaa anavyosisitiza kuwa mpaka saa 6, mi nimemuambia as long as everyone ana free Will. Basi tuenjoy
 
mbona simple tu mkuu, alafu jua wanawake kariba wengi siku hizi wanauza, ila style za kuuza ndio tofauti.. alie mpenzi wa mtu asubuhi jioni anasimama Road kuuza, na alie mke wa mtu nyumbani ofisi anauza
Duh πŸ€”πŸ™„, yaani huwa sinywi bia,sivuti sigara Wala uraibu wowote, so ma big bro wakajaribu kuniconnect na manzi flani hivi mwanachuo. He si nilisepaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…