If You Can't fly,run,if you can't run walk and if you can't walk then crawl but under whatever circumstance make sure that you moving Toward those expensive Dreams....Mafanikio ya Kweli Yanaanzia kwenye Fikra...Time is the best weapon, learn to use it accordingly.
tununiane, au kimewaka π₯²π₯²π₯²Nitakuombea best, leo uko kiwanja mpaka muda huu? Utanuniwa home πππππ
Pole sana ndugu yangu,wewe wa kwetu kabisa hupaswi kupata madhira yote hayo,shemeji kakosea sana nipe mamba yake nikuombee msamaha ila nawewe usirudie tena,wakati mwingine utajijua me sipo, haya tuma nambabanaaa weweee, sipendi kweli kushindana na mwanamke.. ikishatokea hali ya mashindano ndani ni taa nyekundu hiyoo.. nimejitokea zangu kuepusha mengine hapa najua natoboa mze ππππ
Expensive Message bro am humbled deep down a million times...If the thing you are doing is important enough, keep doing it even if the odds are against you.
Best best best nimekuita mara 3. Huyo ni shetani ananyatia hiyo ndoa.tununiane, au kimewaka π₯²π₯²π₯²
kimewaka na nimetoa option nikirudi achague moja.. siku hizi wachungaji wanaharibu ndoa zetu, nimemuambia achague kanisa au mie
ππππ twanga hii tu wa kwetu 112 ... jaribu ku mset labda ataelewaPole sana ndugu yangu,wewe wa kwetu kabisa hupaswi kupata madhira yote hayo,shemeji kakosea sana nipe mamba yake nikuombee msamaha ila nawewe usirudie tena,wakati mwingine utajijua me sipo, haya tuma namba
Kazi ya intelligent businnessman hii leoπHaya hayaaa kamata kalam jaza files hizo hapo
Never say impossible, the word itself says I'm possibleExpensive Message bro am humbled deep down a million times...
Never Be Judged by your past it was a lesson and not a life sentence..
Never be a victim of your past Traumatic scenarios.
Nilitoa uhuru wa kuabudu , but wanataka kuingilia maisha binafsi hapo ndio tatizo limeanzia... Nimemuambia hivyo ku mtest nione anatii nini.. nikirudi akisema kanisa, Najiongeza kanisa na mchungaji vimenizidi nguvu .. π₯²π₯²Best best best nimekuita mara 3. Huyo ni shetani ananyatia hiyo ndoa.
Ni bora anaenda kanisani, kuliko ingekuwa bar anakesha huko.
Anaenda sehemu ya amani, uoendo na zaidi kumuomba Mungu.
Jaribu muongee vizuri, apange vizuri ratiba zake za Kanisani, usiruhusu shetani awavunje. Hiyo ni kazi ya shetani ikatae kabisa.
NdioKazi ya intelligent businnessman hii leoπ
Ooh hiyo nimeielewa, nasi tulipata dada Mlokole si akataka nasisi tuwe tunasali Kanisani kwao!!!!Nilitoa uhuru wa kuabudu , but wanataka kuingilia maisha binafsi hapo ndio tatizo limeanzia... Nimemuambia hivyo ku mtest nione anatii nini.. nikirudi akisema kanisa, Najiongeza kanisa na mchungaji vimenizidi nguvu .. π₯²π₯²
Kaka hebu jaribu kutuliza kichwa ili uamue hili swala, Kuhusu kanisa Bantu Lady, usitetee Sana kwasababu nimewahi ona mambo ya ajabu hukoNilitoa uhuru wa kuabudu , but wanataka kuingilia maisha binafsi hapo ndio tatizo limeanzia... Nimemuambia hivyo ku mtest nione anatii nini.. nikirudi akisema kanisa, Najiongeza kanisa na mchungaji vimenizidi nguvu .. π₯²π₯²
00;4800:45
dah hatari sanaOoh hiyo nimeielewa, nasi tulipata dada Mlokole si akataka nasisi tuwe tunasali Kanisani kwao!!!!
Akamleta Mchungaji na Mama Mchungaji, bila kutupa taarifa, tukajifungia vyumbani kimya ππππππ
DuuuhHaina shida Dahan, nipo na vijana wangu unawaweza??View attachment 2485332
hawa wachungaji wa siku hizi wanazingua sana aseee, Mungu atusaidie. Siku hizi wachungaji wana sauti kubwa kuliko mume.. mchungaji akisema unyimwe unyumba hupati kitu dahOoh hiyo nimeielewa, nasi tulipata dada Mlokole si akataka nasisi tuwe tunasali Kanisani kwao!!!!
Akamleta Mchungaji na Mama Mchungaji, bila kutupa taarifa, tukajifungia vyumbani kimya ππππππ
Ur welcome Binadamu Mtakatifu in our Usiku wa Manane family πππββI'm new member welcome me please in this thread