Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Asante kwa kukumbusha, nami ndiyo mida yangu ya kusali hii. Ni kama naongea na Mungu hapa na hapa πππmidnight prayers
Inasadikiwa usiku wa manane ndio muda sahihi wa kusali ,sala za usiku wa manane au ibada za usiku wa manane ndio bora kuliko wakati wote.View attachment 2484089
Naam unakua kweli karibu na Mungu.Asante kwa kukumbusha, nami ndiyo mida yangu ya kusali hii. Ni kama naongea na Mungu hapa na hapa [emoji120][emoji120][emoji120]
Nimeelewa brother, lakini nadhani mara nyingi unapoonza kusali/kuomba nguvu ya Mungu ama tunawaza kusema Roho mtakatifu (upande wa christian) inakuwezesha au kukusaidia jinsi bora ya kuomba.OH sawa mkuu. Nadhan nisizembee karka hii fursa. Napenda nikuweke katka maombi ila sijui nakuwekaje maana nakosa key. Sijui umenielewaaa?
Naam mtumishNimeelewa brother, lakini nadhani mara nyingi unapoonza kusali/kuomba nguvu ya Mungu ama tunawaza kusema Roho mtakatifu (upande wa christian) inakuwezesha au kukusaidia jinsi bora ya kuomba.
Maana sote hatujui namna bora ya kuomba isipokuwa kudaiwa na Mungu ikiwa umeweka nia.
Amen asante sana na ubarikiwe Pendaelli wimbo umenibariki sana, usiku huu wa manane kama wimbo wenyewe. Bila samahani Imani ni hiyohiyo kama yako.Naam unakua kweli karibu na Mungu.
Sindikizwa na wimbo huu , kama unapishana nao kiimani natanguliza samahani.View attachment 2484109
Salama kabisa Mkuu Glenn tunawakabidhi lindo sasaBantu Lady habari yako mtumishi wa Mungu
Bye, [emoji112]01:45
Muwe na usiku mwema wapendwa. Lindo nalikabidhi kwa Sierra One na Middle_child [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole sana brother, ni muda mzuri pia wa kutafakari.Leo usingizi hakuna kabisa cjui shida nn
Nashukuru, ila akili imechoka muda huu.. Usingizi tu ndo dawaPole sana brother, ni muda mzuri pia wa kutafakari.
Pamoja sana mpaka mswakiTupo pamoja
Changamoto kwa kweli kukosa usingizi halafu akili haina utulivu , pole sana.Nashukuru, ila akili imechoka muda huu.. Usingizi tu ndo dawa