JamiiForums Usiku wa manane

Lindo linaharibiwa sana siku hizi.
Muda ni kuanzia saa 6 kamili za usiku. Linafungwa saa 11 kamili alfajiri...
But utakuta saa 5 usiku watu washaingia lindoni!!! Hao ni wizi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Ukiona hvyo ujue usafiri umekuwa mwepesi hamna folen ndo maana wanawah kufika kazn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…