JamiiForums Usiku wa manane

Naomba nimshuhudie 2014 niliwahi kuiona I'd hii yake ila sikuwa nimeizingatia miaka iliyofuata , mwaka jana nikaiona tena ,nilistaajabia kidogo
Of course yuko hapa tangia 2014 lakini sio popular kama wengine. Kwahili nampa 🀜
Anaonekana ni lady anayejitambua na kujielewa, sio Hawa wa mambo mengi wanaojulikana mpaka na......🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…