Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Shift yako inaisha saa ngapiAmen
Katika upweke hivyo kuvipata ni ngumuMliopo wapweke usiku huu
Mpate utulivu na faraja
..............[emoji2221]
Umekula sikukuu kimyakimya... nimekununia etiLeo niko nawe
Nikasubiria hata boxing day kimya πAaah hata sijala kimya kimya nilikuwa masafa marefu lazizi
Nakuona tu na wadudu wako. Ikabidi niwe mpole tu π€£π€£π€£π€£Nimekua back toka jana mama usininunie jmn
Somo la kujiamini, liliniingia ππππWadudu hao wajomba tu wewe ndio kila kitu.
Huoni wanavyonishambulia?π€£π€£π€£
Nipo na ndugu yako, tumepumzika baada ya kuzagamuanaaa.Lala Shem au upo pekee ako nije tupige story tu[emoji41]
Aawww so sweet of you... my love ππππππNisikilize mke wangu.
Dhahabu hupatikana kwenye miamba tena kwa jasho jingi.
Usiache dhahabu kisa miamba mingi...kaza buti umeikaribia honey...tena pasua miamba kwa barutiπππ
I'm here babe πBantu Lady wapi umeenda?
Usikwamishwe na chochote hili ni shamba lako hatavuna mwingineπAawww so sweet of you... my love ππππππ
Kuna zaga lako hebu sogea nyumbani basi?I'm here babe π
Nipo na ndugu yako, tumepumzika baada ya kuzagamuanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasogea love πππKuna zaga lako hebu sogea nyumbani basi?