JamiiForums Usiku wa manane

Barikiwa sana ndugu yangu....nalala vizuri sana sikuhizi....nimemweka Mungu mbele kuliko CHOCHOTE hivyo ananituliza sana
 
Kuna girl next door nawaza sijui nikamgongee mlango nizame chumbani kwake..nitoke huko saa 11 nijiandae na misa ya kwanza🥱☹️😒
Ngoja nipitie kidogo uzi wa rikiboy nipate motivation.
 
Wakuu nahitaji msaada Tafadhali, nifanyeje Ili kupata usingizi. Si mchana sio usiku sipati usingizi. I can't imagine how uzee wangu utakavyokua😟
Mimi hili tatizo lilinipataga na niko nalp hadi sasa iv.
Nnachofanya ili nilale nusu saa kabla ya kulala naweka simu sebuleni.
Alafu naenda kitandani na smart speaker yangu nasikiliza binaural beats therapy.
Nikishtuka usingizini nawasha Laptop naangalia series yoyote brightness ikiwa zero lazima nisinzie.
 
Mimi Kuna kipindi Huwa usingizi unakata saa 8 usiku then naupata Tena saa 11 waoneni madktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…