JamiiForums Usiku wa manane

Leo Niko lindo nyumbani kwa mkubwa Fulani. Mkubwa karudi saa saba usiku, mpaka muda huu bado Kuna mzozo ndani Kati ya mkubwa na mkewe.
Leo ndio nimegundua kumbe hata wenye V8 mbele za wake zao wako Kama sisi tu. Maugomvi hayaishi pamoja na mihela yote
 
Sio ugomvi ilikua romance tuu,Acha hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…