Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 672
Dah, that's true bhana hiyo experience nilidhani naipata mwenyewe, fen sometimes unakuta kama inakulete some hot air, na inakera sana unaanza kujiuliza sasa fen ya niniAcha tu watu tunatembea tunachemka,hata feni inagoma inalete joto pia
Hilo goli kavu πΉπΉTulia tu,joto hilo unapigaje goli[emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu,naona unaniiba niiba hapa.....njoo nikukabidhi goboreNimefika shift 1:16
Mmoja akalale
πππwe kazi yako lindo mkuuNa mie leo nipo lindo sijui nitalala saa ngapi, ila wengine wanatuzuga wapo nje ya nchi ambapo huko walipo bado ni mchana kweupe
Ndio umelala?Tulia tu,joto hilo unapigaje goli[emoji1787][emoji1787]
InazidiwaDah, that's true bhana hiyo experience nilidhani naipata mwenyewe, fen sometimes unakuta kama inakulete some hot air, na inakera sana unaanza kujiuliza sasa fen ya nini
Afadhali hizi natural breeze zinazopitia madirishani, tamu kinoma βΊοΈβΊοΈInazidiwa
Umeona eeeh,nipo mlimani ninapokaa,saafi kabisaAfadhali hizi natural breeze zinazopitia madirishani, tamu kinoma βΊοΈβΊοΈ
Kwa madai yako unaniringishia πππUmeona eeeh,nipo mlimani ninapokaa,saafi kabisa
0007
Naingia lindo
Wazee wa lindo mpoooooo
Bila shaka...πππKwa madai yako unaniringishia πππ
Iko poa mkuuKama kawa kama dawa!
Naomba uendelee kuwa lindoni,acha nipumzike[emoji120][emoji1787]Ndio umelala?
Usiku mwema na njozi njemaNaomba uendelee kuwa lindoni,acha nipumzike[emoji120][emoji1787]