Pole mpenzi, lia ili utoe uchunguNashindwa kulala haja ya moyo wangu naijua, Machozi hayaniishi homa ya mapenzi naugua, Furaha yangu mimi kulia mpaka nahisi duniani kama naonewa.
Sawa shetanii+255 champion boy niite Team 666 namba ya shetani
Lindo lipo salama,Nakagua lindo
Nafurahi sana kuona walinzi wenzangu mnaliendeleza. Ni kweli man kitambo sana kwa sababu ya majukumu. Si unajua tuna lile jukumu la nitumie na ya kutolea 😀😀😀Lindo lipo salama,
Long tym kitambo sn humu!
02110136..
Amkeni bhana tusaidiane kupotezeana mawazo...