Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Basi na kukosa usingizi usilalamikeMatakataka ya leo ni me enjoy kiukweli sijutiii
Basi na kukosa usingizi usilalamikeMatakataka ya leo ni me enjoy kiukweli sijutiii
NakujaNjoo
Tupige story
Usingizi mwema mkuuniwatakie lindo jema wakuu
Usingizi mwema mkuu
nawe pia time ikifikaUsingizi mwema mkuu
Last time kupika chapati miss ilikua liniNimejikuta na stream channel ya mapishi youtube aya maisha
Mimi nimeangalia YouTube hadi bando limekataNimejikuta na stream channel ya mapishi youtube aya maisha
dalili za loniliness hizoNimejikuta na stream channel ya mapishi youtube aya maisha
Mimi nimepika wiki hii, jumanne kama sikoseiLast time kupika chapati miss ilikua lini
Nakuja
Nalusubiri kwa hamu mkuuNakuja
Loneliness sio kweli sema week hii nimeshawishika kujifunza mavitu ya ngano kiukweli sipendi kusubilia machapati nataka nijue how to make some of my owndalili za loniliness hizo
Sawa ndio nimepanda bodaboda hapaNalusubiri kwa hamu mkuu
Mimi nataka nipeke j pili....nipo nakula tutorial kwa cook with anithaMimi nimepika wiki hii, jumanne kama sikosei
Kila la heri mkuu
hongera mkuu..jifunze ili ukiwa master utukaribishe kuonjaLoneliness sio kweli sema week hii nimeshawishika kujifunza mavitu ya ngano kiukweli sipendi kusubilia machapati nataka nijue how to make some of my own
Nawaaidi mtakula kwa picture humuhumu inshallahhongera mkuu..jifunze ili ukiwa master utukaribishe kuonja
itabidi ukariri na hii ID kwa tag maana ni nadra kuingia kipande hiki siku hiziNawaaidi mtakula kwa picture humuhumu inshallah
Nitafanya hivyo simissitabidi ukariri na hii ID kwa tag maana ni nadra kuingia kipande hiki siku hizi