JamiiForums Usiku wa manane

kuna uzi nilikua nausoma hapa aisee umenifanya nimekosa usingizi kabisa wanajeshi bana wana mioyo migumu sana.
Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania
Mkuu mbaya zaidi serikali ya Msumbiji imejitetea kijinga sana. Biinafsi nilijua wale askari watawajibishwa kwa lile tukio. Waafrika sisi ni binadamu wabaya sana, ndiomana wazungu na waarabu walituchukua kama watumwa, usikute walikuta babu zetu wanaishi kama wanyama tu (Uncivilised) though historia inatuambia huko nyuma kimaendeleo tulikuwa sawa ila Ulaya wakaanza kutuzidi kuanzia karne ya 15.
 
yani nimeeicheki nikawaza sana mtu unawezaje kumfanyia binadamu mwenzako vile, si bora wamchukue akafanye kazi magerezani mpaka mungu amchukue mwenyewe.
alafu wanasema alikua mjamzito.
 
Serikali za Kiafrika zipo kibabe sana hawaangalii maslahi ya raia
 
Serikali za Kiafrika zipo kibabe sana hawaangalii maslahi ya raia
Hili ndilo tunalopaswa kulipigania sasa kuhakikisha vyama vinafanya siasa kwaajili ya wananchi na si matumbo yao. Tungekuwa tunajielewa kama waafrika wa kaskazini, tungekuwa mbali katika swala zima la demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…