JamiiForums Usiku wa manane

Iceberg9 kuna chomboz nimekikubali humu JF Ila sasa mi niko Kanda maalumu chenyewe kiko DSM sasa tumefall in Love sasa What should I Do?
Cha kufanya anzisha mahusiano nae kama yumo humu JF, anza mdogo mdogo mzoeane muwe marafiki wa kushibana, mkitoka hapo mjipandishe vyeo sasa mtafutane mkayajenge... Hakuna relationship imara kama hile iliyoanza kwa kuwasiliana na kuzoeana mkiwa mbali, siku mkikutana basi imeisha hiyo, mnaweka mpira kati ,

Faida zake
-Mtadumu
-Hamtachokana
-Mtataniana na kuwa wenye furaha
-Mtasaidiana
-mtapendana sana tu
 
Kumbe wewe ni mshauri mzuri hivi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…