JamiiForums Usiku wa manane

Unazingua hebu nipe kampani mida hii, ile mida yako utaniambia huwa unakua upo mapumziko baada ya mpambano au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo muda wako wa wanna
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Usingizini...nitashindwa Kukupa kampani vizuri..niwache nilale..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ile mida huwa naamka kwenye maombi Mimi na Yale mapumziko wapi na wapi jamani..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siyajui Yale🀦
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utanifundisha maombi na mimi, halafu mpambamo nitakufundisha mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…