Nchi za wenzetu, watoto wa hivyo mbona wapo kibao na wanavuta hadi bangi class, lakini sheria zinawalinda sana watoto... Hivi mwanao apigwe na akafariki mikononi mwa mwalimu utalipokeaje...Ila bhana kuna watoto wameshindikana aah ukisema usiweke mboko ni tatizo kabisa watoto wa saiz wanaenda shule na daftari moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aah hiko kipengele wallah mm nitafia jela huyo mwalimu nitamuua na mm, lakini u ajua sisi watu weusi bhana hatujui kabisa kujitawala hatakama zitawekwa sheria bado tutacross ile line ambayo hutatakiwa kuvuka mipaka.Nchi za wenzetu, watoto wa hivyo mbona wapo kibao na wanavuta hadi bangu class, lakini sheria zinawalinda sana watoto... Hivi mwanao apigwe na akafariki mikononi mwa mwalimu utalipokeaje...
Aah hiko kipengele wallah mm nitafia jela huyo mwalimu nitamuua na mm, lakini u ajua sisi watu weusi bhana hatujui kabisa kujitawala hatakama zitawekwa sheria bado tutacross ile line ambayo hutatakiwa kuvuka mipaka.
Huyo mwalimu unakufa naeAah hiko kipengele wallah mm nitafia jela huyo mwalimu nitamuua na mm, lakini u ajua sisi watu weusi bhana hatujui kabisa kujitawala hatakama zitawekwa sheria bado tutacross ile line ambayo hutatakiwa kuvuka mipaka.
Tatizo hili[emoji3052]View attachment 1545326
Pale mwanadamu anapojifanya simbaTatizo hili
Hizo nazijua vzr na huwa nawaonea sana gere na kuwaambia sisi hatukusoma kama wao unakuta darasa teyari lina rocker unaingia kila kitu unakikuta humo.No kuna shule za English medium hapa Tz zinafanya vizuri sana katika kuwa shape watoto na zina taratibu zao watoto wanatakiwa wafuate na zinafuatwa punde ukiwa shuleni, na hawatumii fimbo ni kufukuza shule tu, mbona watoto wana adabu
Nilitamani kwenda uwanjani lakini kupata ticket ilikuwa nitabu sana toka juzi.Pale mwanadamu anapojifanya simba
Nipo ngoja nikuachie usukani.Inakuaje?
Mmelala?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yes shule za wenzetu zipo juu, Umenikumbusha movie ya NIGHT SCHOOL ya Kelvin hart, Kevin baada ya kuona maisha mtaani ni magumu na kapata demu mkali hawezi kumhudumia na mtaani kugumu hana mchongo hana hela, na kupata kazi nzuri nzuri hawezi kupata hana kigezo cha elimu, basi anafanya kurudi tena shule anachukua masomo ya jioniHizo nazijua vzr na huwa nawaonea sana gere na kuwaambia sisi hatukusoma kama wao unakuta darasa teyari lina rocker unaingia kila kitu unakikuta humo.
Diamond ndiyo kajaza uwanja kwa 60%Nilitamani kwenda uwanjani lakini kupata ticket ilikuwa nitabu sana toka juzi.
huu ni ugonjwa..[emoji3052]View attachment 1545326
Agiza chochote unywe kwakuweka hii song hapa.
washalala leoKumekucha
Hodi humu