JamiiForums Usiku wa manane

Usiku bila blanketi chapa mtu.
Baridi hadi wazee wametumbukia tumboni mpaka nawatafuta kwa tochi
 
Baba anakoroma, mtoto anakoroma.
Wanasababisha nisilale hawa.
Wanaume tabia za kukoroma nani kawafundisha?

Nimezungukwa na mashine za kusaga ndani kwangu...
Mikoromo siyo ya nchi hii.
Na wewe utakua unakoroma tuu
 
Reactions: amu
Baba anakoroma, mtoto anakoroma.
Wanasababisha nisilale hawa.
Wanaume tabia za kukoroma nani kawafundisha?

Nimezungukwa na mashine za kusaga ndani kwangu...
Mikoromo siyo ya nchi hii.
Na wewe una koroma sema hujajishtukia. Kuna mtu ilibidi nimrekodi asubuhi ndio akaelewa ananisema sema wakati yeye ndio gwiji wa kukoroma kama jenereta, sijawahi msikia tena akilizungumzia hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…