Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,663
Msiende PM please usiku huu, sio salamaNimekuelewa sana na nilikuwa nakuzingua tu.. Embu nipe huo umbea hata pm basi.
Maana jf ndo sehemu pekee ambayo watu wanakujua kuliko unavojijua.
Unaweza wakuta wanajadili na wewe ukachangia kumbe ndo muhusika mkuu.
hahhaaa umesahau kusema kua hata ww unaweza kua katika waliwao..Nimekuelewa sana na nilikuwa nakuzingua tu.. Embu nipe huo umbea hata pm basi.
Maana jf ndo sehemu pekee ambayo watu wanakujua kuliko unavojijua.
Unaweza wakuta wanajadili na wewe ukachangia kumbe ndo muhusika mkuu.
Nakukubali sana kaka mkubwa. Njoo PM.mkuu hapa nilipo valeur( ambayo ndo kinywaji changu ni 8000 tu bei ya mangi)... unailipaje!?
Sehemu moja hivi ina anamsha amsha balaaa kama mchana vile.Msiende PM please usiku huu, sio salama
NAKAZIA.Msiende PM please usiku huu, sio salama
Dadeeeki, huwa hawarudi salama huko, hakuna aliyeenda akarudi salama.Sehemu moja hivi ina anamsha amsha balaaa kama mchana vile.
Hahahaha kuna MTU anaweza Namibia SAA ngapi sasa hivi?NAKAZIA.
hahaaaaaa noma sana. hua siwashangai watu waliofunga pm zao.Dadeeeki, huwa hawarudi salama huko, hakuna aliyeenda akarudi salama.
saaa 0954am, au 0354 hrs...Hahahaha kuna MTU anaweza Namibia SAA ngapi sasa hivi?
Imebidi nifunge PM pia, hapana siwezi kuiacha wazi!hahaaaaaa noma sana. hua siwashangai watu waliofunga pm zao.
insecurities mkuu.... jiamin kua unaweza kabiliana na kila kitu... kama kidume cha mbeguImebidi nifunge PM pia, hapana siwezi kuiacha wazi!
Imefika na sekunde ngapi? Nataka nijiandae Jumuiya Leo wanasali kwangu na Niko single, nimemuomba Housegirl wa mwenye Nyumba naona atakujasaaa 0954am, au 0354 hrs...
Hivi bangi na unga ni sawa? Binafsi bangi nishaiona sana watu wengi wanatumia ninaijua hata ikiwa mbali.hahhaaa umesahau kusema kua hata ww unaweza kua katika waliwao..
anyways kwakua nko hai, ngoja nigusie kidgo.
kuna mwanangu flani hvi alikua na ID ya ajabu ajabu akapost pic ya unga(madawa ya kulevya) ila wakamfatilia sana, from humu jf mpka wakampata, 2019 katikati wakamtia kichapo akataja chain yake wakadabwa kibao. hiyo ndo sababu kuu mwaka huu nikaja na ID nyingine.. kwahyo anything that isnt allowed nationally kwangu ni mwiko kupost.. nmejifunza.
Hahahaha Mpwa nimejiamini kwa miaka zaidi ya kumi na moja, nimeamua tu kupunguza jam! Ila namba zangu zote nne zinapatikana, kama una deal wewe nipe tuinsecurities mkuu.... jiamin kua unaweza kabiliana na kila kitu... kama kidume cha mbegu
Unga wa nini Rafiki?Hivi bangi na unga ni sawa? Binafsi bangi nishaiona sana watu wengi wanatumia ninaijua hata ikiwa mbali.
Na si watu kama wanavyoielezea "kama vile watumiaji ni watu wa hovyo hovyo" hapana ninaowajua na wanaopuliza mbele yangu ni watu wenye dhamana zao serikalini.
Hapa nilipo mda tumekaa sehemu wanapoza koo na ganja juu lakini unga hapana aiseeee ni ishu ingine kabisa.
Huyo jamaa yako alikuwa na mambo ya ajabu kupost unga ntandaoni?
Alikuwa ameranduka mno au labda ushamba mzigo aliona anajifaragua.
Bangi na unga ni tofauti aise kupost unga mtandaoni ni dharau kwa mamlaka.
Mzee ina maana network zimeanza kuyumba?Hahahaha kuna MTU anaweza Namibia SAA ngapi sasa hivi?
Kama vile kuna interference kwenye networkMzee ina maana network zimeanza kuyumba?
Unga wa muhogo kaka.Unga wa nini Rafiki?
yeah uko sahihi mkuu, ila kitu kdgo kinakuzwa kulingana na status yako, nakumbuka mwaka jana nlikamatwa REDHANDED na bangi pale kahama, nlikamatwa na polisi mida ya saa 7 usiku kulikua na chimbo nlipelekwa inaitwa ZE FOX it costed mile 3M .. kesho yake nlikua na kikao kazini by all means sikutakiwa kukikosa tena kwa kulala selo, hapana mkuu... bangi imekua poa casually tu ila katika dola japo wao pia wanatumia hua wanatukazia sisi wakereketwa. ndo mana sitaki kuacha traces!. .Hivi bangi na unga ni sawa? Binafsi bangi nishaiona sana watu wengi wanatumia ninaijua hata ikiwa mbali.
Na si watu kama wanavyoielezea "kama vile watumiaji ni watu wa hovyo hovyo" hapana ninaowajua na wanaopuliza mbele yangu ni watu wenye dhamana zao serikalini.
Hapa nilipo mda tumekaa sehemu wanapoza koo na ganja juu lakini unga hapana aiseeee ni ishu ingine kabisa.
Huyo jamaa yako alikuwa na mambo ya ajabu kupost unga ntandaoni?
Alikuwa ameranduka mno au labda ushamba mzigo aliona anajifaragua.
Bangi na unga ni tofauti aise kupost unga mtandaoni ni dharau kwa mamlaka.