Thanks for synopsis. Nitaicheki nione kama iko poa. Ila huwa hubahatishi weweShort story
Iko hivi jamaa wapo Ureno alafu majamaa walijua wapo peke yao duniani hapa ndio wanaishi lakini kuna bwege nazi mmoja hivi akawa anasema lazima kutakuwa na watu wanaishi tu kama sisi akaja na hiyo idea ya kutoka nje ya nchi ya Ureno na kwenda mbali kutafuta ardhi nyingine yenye watu lakini wengi walipinga katika hii idea yake hawakumuamini
Pamoja na kumpinga mwana bado hakukata tamaa aliotengeneza boat na kuchukua watu kadhaa na kwenda ng'ambo huko wakitumia jua kama compass huku wakimchukua na kunguru pia kumtumia kama kutakuwa na ardhi na watu wanaishi watajua tu kama akiruka na asiporudi kutakuwa na makazi kama hakuna atarudi na kukaa nao iliendelea kuishi.
Wakafanikiwa bhana jamaa walitua UK wakaanza kuwashangaza watu wa UK na utamaduni wao maana UK walikuwa wanajua dini miaka hiyo jamaa walikuwa wakiishi na mizimu tu basi jamaa wakafanya na vurugu wakaondoka na vitu vya gold kutoka UK na mtu mmoja kama sample wa kuonesha kuwa kuna watu wa wanaishi kama wao hii ni summary ya hiyo season 1 tu Drizzle
Ujumbe uliompa unamtosha..😂😜[emoji13][emoji13][emoji13][emoji2956]
Wanna have one too?! Dreams of bedbugs to 9t?!
Nenda kaliangalie,si unalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado nalikumbuka vazi lako la "yesu ndie mwamba"[emoji23][emoji23]
Nimemiss kuliona tena..!
Ukichelewa nakuchapishia na picha ya rainbow she tutaiprint pembeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nikisoma huku nafanya yangu nampango wa kuchapisha kabisa maana umeleta appetite [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiroho safiUjumbe uliompa unamtosha..[emoji23][emoji12]
Sasa hii nipo o level ndio naangalia wakati huo ni mpya sasa zipo season 2 tuThanks for synopsis. Nitaicheki nione kama iko poa. Ila huwa hubahatishi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
@ncha kali nakubali brouh...appreciate a million timesNakubali
[emoji23]muoga, mm nalala like a pro na ndoto zote adimu zinapatikanaNo time for dreams, ni bora kukesha tu... hatujui siku wala saa. [emoji276]
Itakuwa vyema nikipata jipya laaziziNenda kaliangalie,si unalo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kule kuna vipaji
Ndio mwisho season 2 au inaendelea? Kumbe imetoka kitamboSasa hii nipo o level ndio naangalia wakati huo ni mpya sasa zipo season 2 tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yako ndio itakuwa nzuri zaidi nikisoma na waraka pia.Ukichelewa nakuchapishia na picha ya rainbow she tutaiprint pembeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]muoga, mm nalala like a pro na ndoto zote adimu zinapatikana
Leo nataka nishindane nawe tabia ya kutokulala maana dah!!Kiroho safi
Muda sana boss anakutafuta sana mahudhurio yako ni hafifu sanaSuper Villain nimeshaitwa jina????
Itakuwa vyema nikipata jipya laazizi
Nitie wakfu niuone wadhifu wako..
Binti maridadi mwenye kunipandisha midadi..[emoji6]