Utaweza tu mkuuBado sijapata mkufunzi ila nakomaa ili siku nikipata mtu wa kunifundisha iwe rahisi zaidi.
Halafu kitu kinachonizingua sana ni scale, yaani naweza kupiga wimbo mzima kutoka kwenye chord za white keys pekeyake, kuchanganya na black note ni hadi labda nichore kwenye piano roll huku nikisikiliza ina sound vipi au na play only white notes kisha na transpose kwenye DAW ninayotumia.πππ
Hamna kitu rahisi duniani aisee, sikuamini kama kubonyabonya hili dude linaweza kuwa gumu hiviππππ
Hakika mkuu, nikipata mtu wa kunifundisha ana kwa ana hata kwa siku 2 tu naamini kitendawili kitakuwa kimeteguka. Ningekuwa huko kwa makonda ningekucheki..Utaweza tu mkuu
4:26
We upo mkoa gani?Hakika mkuu, nikipata mtu wa kunifundisha ana kwa ana hata kwa siku 2 tu naamini kitendawili kitakuwa kimeteguka. Ningekuwa huko kwa makonda ningekucheki..
Ila ngoja nilendelee kujifua mdogomdogo.
DodomaWe upo mkoa gani?
Sahivi kuna vumbi?Dodoma
Nilikisoma shule, nikuhadithie?Hapana, unacho.?
Kwa sasa bado maana majani yapo ardhini, kuanzia mwezi wa saba na kuendelea show inaanza. πππSahivi kuna vumbi?
Dah kweli huko mbali mkuu, nilikuahidi notes nitakutumia PDF file baadae ambazo zitakuongoza vizuri tuDodoma
Nilifikaga Nov kwa mara ya kwanza, nilipauka acha kabisa πππKwa sasa bado maana majani yapo ardhini, kuanzia mwezi wa saba na kuendelea show inaanza. πππ
Dom kuna umbali gani?Dah kweli huko mbali mkuu, nilikuahidi notes nitakutumia PDF file baadae ambazo zitakuongoza vizuri tu
Shukrani mkuu, natumaini zitakuwa msaada.Dah kweli huko mbali mkuu, nilikuahidi notes nitakutumia PDF file baadae ambazo zitakuongoza vizuri tu
Kutoka wapi?Dom kuna umbali gani?
Nilikisoma shule, nikuhadithie?