JamiiForums Usiku wa manane

Hujawahi kulitoa hilo tukio tena usingizi labda maana mm misukosuko kama hiyo huwa lazima niiyote ikinitokea yani nakuwa nawenge tu kichwani.

Sajawahi kuota, ila nikiwa kwenye gari tu lolote, ila nakua kama nastuka hivi kila mara nikiwa kwenye gari, nikiwa kwenye gari naona kama inajirudia hivi kimtindo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…