Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana sikuwa na dhamira hiyo lakini hii ndio party iliyopo kuanzia jana sio mbaya tukifanya collaboration ya double celebration Eid na send-off kwa pamoja. [emoji91]
Subiria Jumanne utawaona wakija kula daku humu wakimaliza hizo 6 zao ndio utajua hawa watu ni waaina gani [emoji23][emoji23][emoji23]Nafikiria ku crash nikiona kimya, haiwezekani tuwasindikize hadi mwisho ...watukalie kimya.
Gud niaje champ?
Huwezi kushinda na usingizi ukija unalala mwenye acha na hii kitu unaweza lala hata kichakani ukiwa unakudai tu.
Subiria Jumanne utawaona wakija kula daku humu wakimaliza hizo 6 zao ndio utajua hawa watu ni waaina gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Niaje T9?
Kuna futari kweli Leo.?.
Huwezi kushinda na usingizi ukija unalala mwenye acha na hii kitu unaweza lala hata kichakani ukiwa unakudai tu.
Aluuuuuuuuuuuuuuuu upo kipenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Ina maana Jana ndio ilikua mwisho??Ndoto za mchana hizi
Nipoooooo kipenzi, nimekuona nimeshangaa, mkongwe mwenzangu humu,Niaje T9?
Kwa mialiko kama hivi kulazimishana unaweza itikia mualiko unanawa unasubira chakula kumbe ndio umejikinga na corona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Yupoooooo
Futari imeliwa saa 12 hapo leo hakuna.Kuna futari kweli Leo.?.
Ina maana Jana ndio ilikua mwisho??