HahaHahahaha, nakuja niambie nibebe nn ? Halafu nakuja WhatsApp namba si ile ile ? Tuyajenge khs jpili
Hahahaha, kumbe ulibadili ? Lkn Msodoki yule Dereva si anapajua? Mie nishapasahauHaha
Ile siyo kabisa kama ni ile [emoji3]
Beba mazaga yote matamu tamu, na dumu la dompo lisisahaulike.
Tufunge lindo,twendw chemba tuyajenge ya jumapili5:50
Yule anapajua, ile namba ilipotea na TCRAHahahaha, kumbe ulibadili ? Lkn Msodoki yule Dereva si anapajua? Mie nishapasahau
Dompo ,na mazaga mengine usiwaze ila mshtue na yule chizi wako anaongea sana wa kipindi kile
Keyboard yako haina 0 eeh mbona umetumia O ππ
Hahahaha, basi shaka ondoa nitakujaYule anapajua, ile namba ilipotea na TCRA
[emoji3][emoji3][emoji3] usijaliii, yule yupo utamkuta
Anza kufunga magetiTufunge lindo,twendw chemba tuyajenge ya jumapili
Nishafunga yote ya huku juu bado hilo moja malizia tusepeAnza kufunga mageti
Yes6:00
Gates closed
Mkuu, mimi sijasomea engineering, nafanya kama sehemu ya kujenga uzoefu ili huko mbeleni kama nitajaaliwa niweze kuchanganganya hizi CGI's kwenye music videos na movies. Hivyo naweza sema najifunza kwa sababu ya interests tu.mkuu yaan unasemea kwa ambae mmesomea haya ma engineering au hata sis wenye interest tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mwandiko wako wa leo inaonyesha hauna usingizi kabisa, mwandiko umejaa energy.
Dah, kweli usimwamini mtu kwa kumwangalia. Sikutarajia kabisa kilichotokea.
Ulinipigia ramli vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah, kweli usimwamini mtu kwa kumwangalia. Sikutarajia kabisa kilichotokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nilefeli pakubwa aisee, ingekuwa ni kubet basi mkeka ulichanika dakika ya kwanza tu.
Hapa celine aliimba ..mapacha walimgusa kweli [emoji4]I was waiting for so long
For a miracle to come
Everyone told me to be strong
Hold on and don't shed a tear
Through darkness and good times
I knew I'd make it through
And the world thought I had it all
But I was waiting for you
Hush now
I see a light in the sky
Oh it's almost blinding me
I can't believe I've been touched by an angel
With love [emoji441]