Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Karibu mkuuLindoni
Walinzi wamekuwa wazembe...wanalala lindoni.02:27 nawaangalia tu
Wanauza mechiWalinzi wamekuwa wazembe...wanalala lindoni.
Ila sio mbaya maana harakati za mchana zinachosha, ndo maana nikaona sio mbaya nikiimarisha ulinzi kwa wakayi huu wa mpito.Wanauza mechi
Ntapitia tena upya ile listIla sio mbaya maana harakati za mchana zinachosha, ndo maana nikaona sio mbaya nikiimarisha ulinzi kwa wakayi huu wa mpito.
Unataka kufanya mabadiliko madogo au makubwa?Ntapitia tena upya ile list
Ukiachana na kuongezeka kwa mbu, mengine yako sawa kabisa.Habari za kipindi kilichopita walinzi
No, ya kawaida tu ili kuongeza ufanisiUnataka kufanya mabadiliko madogo au makubwa?
Hao ni rafiki zetu bila wao tungeshasinzia mapema pamoja na hivyo chukua tahadhali maana ndio wanaoongoza kwa kudedisha watu kwa mwaka Corona ikasubiri.Ukiachana na kuongezeka kwa mbu, mengine yako sawa kabisa.
Ni vema kabisa...No, ya kawaida tu ili kuongeza ufanisi