Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
IT team ni watu nimekuwa nao mzee ni friends na family pia najua kidogo tu [emoji23][emoji23] sio sana ndio maana hata ile avatar nili sketch mwenye zipo nyingi sana huko IG Adobe kazi yake.Niibie siri maana huyu dude Super Villain kazidi kujimwambafai
Tupo wewe tu ndio muadimkaji01:10 sioni walinzi
Umefufukia wapi leo? 😊Na mie Leo nimo.
Tujuane tujuane.
Ooh vizuri mimi sio mwenyeji lakini nmependa kuishi moro mnoUnajua nimesoma huko A level? So pande za Kionda, mazimbu hostel za Sua kule, misufini mpaka Sua kwenyewe...
Haya nipe ramani maana hata course ya after effects ulinirusha tu 😂IT team ni watu nimekuwa nao mzee ni friends na family pia najua kidogo tu [emoji23][emoji23] sio sana ndio maana hata ile avatar nili sketch mwenye zipo nyingi sana huko IG Adobe kazi yake.
Unazikumbuka zote nakumbuka mbili tu mm graphics na ile nyingine tu hii itakuwa ya 3 leo.Hivi huwa unamark hizo promise.. leo ya sita hii Goddess huyu jamaa ako simuelewi asee
😂😂😂😂 aseeeeUnazikumbuka zote nakumbuka mbili tu mm graphics na ile nyingine tu hii itakuwa ya 3 leo.
Check Out GBWhatsApp Pro!Nipe link niidownload maana kila nikidowload anti wakati wa kusajiri number yangu inagoma
Dude anawalimi kwenye group tele[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wajinga wakipost cracks anaiba yeye ndo anakua fundi ssNiibie siri maana huyu dude Super Villain kazidi kujimwambafai
HahahahaSuper Villain msajili wa waluguru.. nsajili njomba ako mwingine hapa ila huyu ni mluguru wa hiyari [emoji4]
After effects ukitaka kujua acha kazi zote ndio ujifunze sio kitu cha siku moja hiyo Adobe tu sikujifunza kwa siku moja weeks na miezi huko nilichukua.Haya nipe ramani maana hata course ya after effects ulinirusha tu [emoji23]
Siti nmemuibia mjuba simiss tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unafurahi unavyo niumbua sio.
Mi na ww hatushindwani bwanachiqutitta nakukabidhi zamu. Acha nilaze gari kwa siku ya leo. Goddess iftari na daku umeninyima. Naomba mualiko wa eid in advance
Hahaaaaaaa af hizo channels na groups ukiingia directory na hata search unazipata ..kumbe ndo maana anaeka ngumu sana na si ajabu ile IDM alosema anaitumia kudownload ni uongo.Dude anawalimi kwenye group tele[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wajinga wakipost cracks anaiba yeye ndo anakua fundi ss
[emoji106] nenda tu lindo litakuwa salamachiqutitta nakukabidhi zamu. Acha nilaze gari kwa siku ya leo. Goddess iftari na daku umeninyima. Naomba mualiko wa eid in advance