Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Ohoooh mtu na jirani yake mnajuana vyema kumbe, mpaka mnafanya wote shopping kwenye duka la Mangi![]()
. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote
![]()
Ila jirani roho yako nzuri sana, hakika unahitajika kupata tuzo ya Nobel![]()





Tumeagizwa tupendane ndio nguzo na msingi imara maandiko yanatuasa kufanya hivyo
. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote
huyo hayupo sawa usimuamini kwa lolote atakalosema
