Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Nilitoka kidogo nipo abroad nikirudi nitamtafuta aiseehHivi unajificha wapi kwani haupo na mdogo wangu kweli?
Nilitoka kidogo nipo abroad nikirudi nitamtafuta aiseehHivi unajificha wapi kwani haupo na mdogo wangu kweli?
Inavyosemekana, hebu atuthibitishie live hapaEti unapigwa chabo?
Ohooo swali juu ya swaliNambie mdogo wangu umemficha wapi?
Funga kwanza ndo tutalalaJamani tunaomba mkalale tunafunga ofisi😀
Yale macho yake yapiga chabo popote hata akiwa dukani waweza sema ni mwizi![]()

Achana nao hao wasitugombanishe shemeji yanguEti unapigwa chabo?
Nilidownlod tuu acha kabisaNdomanaaa unachungulia na kuludi channel gani hizo
Hewaaa karibu utasema nishampata nasubili umfichue jamaa yangu mana si kwa utekaji huuNilitoka kidogo nipo abroad nikirudi nitamtafuta aiseeh
Nitavumilia tuu sasa nitafanyaje hakuna namnaHahaha zimefanyaje jirani mwema wa mtekwajiUsihofu zitarudi kwenye hali yake ya kawaida nikimaliza hii kozi fupi hapa mirembe, tuvumiliane tu kwakweli
![]()

Yaan ni popo wa muda hata kipindi kile alikuwepo sanaHivi na yeye ni wa muda nimeona aki mmiss iceman kua kitambo hajamuona
Ohoooh mtu na jirani yake mnajuana vyema kumbe, mpaka mnafanya wote shopping kwenye duka la MangiYale macho yake yapiga chabo popote hata akiwa dukani waweza sema ni mwizi![]()
. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote

Uje unifundishe na mimi basiNilidownlod tuu acha kabisa
Duh kwa id hii au m badala?Yaan ni popo wa muda hata kipindi kile alikuwepo sana
MangaInavyosemekana, hebu atuthibitishie live hapa
huyo hayupo sawa usimuamini kwa lolote atakalosemaT 1990 ELY hizi namba mbona kama za Noah nyeusi, iliyokua inatufuatilia tokea saa 00:00.Napita tu...

Ha ha haaaa mkuu angalia usije hamia karibu mana si kwa misifa hiiOhoooh mtu na jirani yake mnajuana vyema kumbe, mpaka mnafanya wote shopping kwenye duka la Mangi![]()
. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote
![]()
Ila jirani roho yako nzuri sana, hakika unahitajika kupata tuzo ya Nobel![]()