Utanisamehe maana mood niliyonayo siku mbili tatu hizi [emoji23]..
Kitabu gani katika biblia unakipenda zaidi na verse gani ina umuhimu au unaitumia sana katika life yako
Worry not ..
Napenda zaburi mno kuliko vitabu vyote
verse ninayotumia ni Joshua 1:9
Sent using Jamii Forums mobile app
A quote Winston Churchill
“When I look back on the perils that have been overcome, upon the great mountain waves in which the gallant ship has driven...
I feel sure we have no need to fear the tempest.
Let it roar, let it rage.
We shall come through!”
~ Winston Churchill, 1941
We too shall come through!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah hiyo verse inanipa faraja mno , kwamba ni muhimu kumtegemea Mungu kwanza .Nimeisoma hiyo verse ni nzuri sana..
japo mimi kipindi nagusa bible nilikuwa nikipendelea mithali
hata hapa ipo pembeni yangu lakini sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuifungua.Yah hiyo verse inanipa faraja mno , kwamba ni muhimu kumtegemea Mungu kwanza .
Mithali ni nzuri ,kwani siku hizi hausomi bible ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah naipenda pia
Mimi napenda audio bible hata siku ukichoka kusoma unasikiliza tuhata hapa ipo pembeni yangu lakini sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuifungua.
nipo zaidi ya mzito
Mimi napenda audio bible hata siku ukichoka kusoma unasikiliza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuwa mvivu kwenye kusoma pia wakati siko hata busy .Hapa kuna mtu kanitumia nyingi ila hata kuziskiiza ni kazi.. ntajitahidi lakini maana ukiishi katika life la kusoma hata kama ni kwa nadra ila ukiacha kabisa unaanza feel mabadiliko
Itabidi tutafute movies za biblical stories au kitabu cha watoto wakristu tukasome hadithi 😊😊
Gody upo mdadaLife in a metro
Haha napenda movie za hivyo mno , kuna moja ya king David na EstherItabidi tutafute movies za biblical stories au kitabu cha watoto wakristu tukasome hadithi [emoji4][emoji4]