Mohamed_jumanne
JF-Expert Member
- Feb 16, 2020
- 331
- 938
kama kawa tunarinda watu wanakoroma uko ndan Hawana habari kwamba sisi tunakipata cha moto ππππTupo imara kabisa kulinda raia na mali zao?
OK usipotee mazima tunakuwekea Siti ya mbele kabisa
Mbaya zaidi hatuthaminiki kabisa mzee ππkama kawa tunarinda watu wanakoroma uko ndan Hawana habari kwamba sisi tunakipata cha moto ππππ
Poa.Siku moja moja muwe mnalala
duuu life is not fair kabisaMbaya zaidi hatuthaminiki kabisa mzee ππ
Kabisa yaani mzee mwenzanguduuu life is not fair kabisa
OK usijal tukimuona tu kakatiza tunavuta wayaYule binti akija humu mnistue waungwana. Natoka kidogo.
Aahhaa wapi. Labda kama sio wewe. Sijui umetega alarm?πππππ Nitakuwa fofofo