Mapema hivi [emoji15]
Nakuroga
Visikuwe tena visoap dish....sasa vitafikia vibeseni
Huko kwenu LabdaMapema hivi [emoji15]
ππππAhhh wewe ..vibeseni nitakuaje mimi ππ
Mimi sitokei sudan kusini ujue, kwetu ever green mwaka mzima
Ulipo kuna mvua ?Nautamani tu ila nikiamua kaa hadi saa moja asubuhi naweza ..
Ila ukinionesha Naomi campbell'z walk ntakaa [emoji4][emoji4]
[emoji15][emoji15][emoji15]Huko kwenu Labda
Kwa Tumbo
Tulia nakupa jibu mzee [emoji23]
Kako wapi hako kamvua mkuuKuna kamvua kazuri sana leo, inaweza kuwa siku nzuri ya kujifunika mablanket kuliko kulinda πππ
HakunaUlipo kuna mvua ?
Hahha hayo ni mambo ya zamani siku hizi natembea kama bata [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwendrraaa sio [emoji1][emoji1]Kwa Tumbo
π