JamiiForums Usiku wa manane

Iko hivi mfano mtu akipata ebola alafu akaja kupona alafu kwa bahati mbaya ukipata ugonjwa wa gono ebola inaamka tena inaanza na upya umeona balaa la virusi sasa [emoji22]
Sifa kubwa ya kirusi ni ukimuweka katika mazingira yasiyosupport maisha anakufa alafu ukamchukua ukamuweka kwenye mazingira ya kuishi anafufuka. So hao waliokuwa wameambukizwa kwanza wakaribu vizuri.
Wale waliokuwa wamepona China wameanza kuripotiwa kuumwa tena
 
Bonne nuit monsieurs, madame et madomoiselle!
Il est quatre heure moins le deuze
03:48

"Cα΅’α΅ƒαΆœα΅Κ³α΅’α΅ƒαΆœΚ° ⁿᡘʰ α΅‡α΅˜Λ’Λ’β±βΏα΅‰Λ’Λ’ ⁱⁿⁿᡃ αΆ α΅’Κ·Λ‘ ᢠⁱᡍʰT"
 
Balaa leo unapimwa positive unakaa karantini unarecover zako unapimwa upo negative baadaye upo positive tena [emoji24].
 
Il est quatre heure moins le dix

"Cα΅’α΅ƒαΆœα΅Κ³α΅’α΅ƒαΆœΚ° ⁿᡘʰ α΅‡α΅˜Λ’Λ’β±βΏα΅‰Λ’Λ’ ⁱⁿⁿᡃ αΆ α΅’Κ·Λ‘ ᢠⁱᡍʰT"
 
Mzee Kifaransa wengine tumekariri maandishi tu [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…