Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nakutafuta sana mama D00:40hrs
Hilo usijali, nalifanyia kazi.Nipo Zurri uje umekamilika π·π€§π°ππ―βπ·kwa tahadhari
TupunguzeMaambukiziβπ€π₯π£πββοΈβ
SawasawaHilo usijali, nalifanyia kazi.
Sawasawa
Leo lindo letuππππHumu naona tuko mimi na wewe sio ?
Walinzi wengine wamekimbia kazi sio ?
Kweli aisee, inabidi tusilaze damu ili tuwe mfano wa kuigwa, yaani japokuwa kwa uchache wetu, tuhakikishe tunafanya kazi vizuri.Leo lindo letuππππ
Usalama π―%βKweli aisee, inabidi tusilaze damu ili tuwe mfano wa kuigwa, yaani japokuwa kwa uchache wetu, tuhakikishe tunafanya kazi vizuri.
Tupige kazi.
Tusiwaangushe waungwana ambao hawapo leo.Usalama π―%β
Tusiwaangushe waungwana ambao hawapo leo.