Hahah daah naona umeanza ku-master training chap chap hahah,maana nilitaka akijibu tu nimpe hio technique.Mpe ile innovation ya inzi bila shaka atakuwa mjumbe bora na mtiifu.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hahah ngoja tumpe muda.Ile sitaki nataka
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kwani maadui ni gani mkuu wangu? Wengine tunalindia mundu kukikucha tunaenda kutumia kukata majani ya ndama
Hahah hapo hapo what do you think Africa nako itafikia level za italy/us kwa vifo au kwa waafrica imeshadunda.Ninaamina kila mwafrika ana Corona ila hatujapima tu kwa ubishi wa afya zetu.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Aaaah umenichekesha kuna vibwengo ati mkuuHahah ngoja tumpe muda.
Kwani maadui ni gani mkuu wangu? Wengine tunalindia mundu kukikucha tunaenda kutumia kukata majani ya ndama
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Siku zote mimi ni msikivu na mtiifu kwa experienced teacher. Mimi ni nani hasa hadi nikaidi? HahahaHahah daah naona umeanza ku-master training chap chap hahah,maana nilitaka akijibu tu nimpe hio technique.
Sina hakika kama bado yupo. HahahaaaHahah ngoja tumpe muda.
Hahah daah na mkaidi hafaidi mpk siku ya iddi.Siku zote mimi ni msikivu na mtiifu kwa experienced teacher. Mimi ni nani hasa hadi nikaidi? Hahaha
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hatuwezi bro. Mie mwenyewe nikipimwa leo sikosi Corona. Mafua kwangu kama vile chipsi yai. Situmii hata dawa yanapotea yenyewe. Wenzetu weupe huwa wanalazwa kwa mafua ujue.Hahah hapo hapo what do you think Africa nako itafikia level za italy/us kwa vifo au kwa waafrica imeshadunda.
Ile mambo inachosha sana mwili,ametoka kwny zoezi hilo halafu akaingia kucheki movie hapo usingizi ni chap chap tu.Sina hakika kama bado yupo. Hahahaaa
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Na anavyokipenda cheo chake. Pitia nyuzi zote za chaputa uone kama utamkosa. Na amekuwa main player mzuri kuhakikisha hakuna member anachepuka. He is brilliant.Hahah mkuu akiamka atazikuta tu na sana sana ataishia kutikisa kichwa tu akisema igweeeeeeeeeeeee hahah.
Vibwengo sio ishu mkuu wangu
Daah kweli si mchezo mkuu,mwezi wa 1 nilipata mafua ya hatari sana,full kukohoa nikameza dawa za maji,mara amoxilin kitu bila bila baadae ikawa fresh,uzuri hapo mambo ya Corona yalikua hayajapamba moto sana la sivyo ingekua ni full mawazo.Hatuwezi bro. Mie mwenyewe nikipimwa leo sikosi Corona. Mafua kwangu kama vile chipsi yai. Situmii hata dawa yanapotea yenyewe. Wenzetu weupe huwa wanalazwa kwa mafua ujue.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Vibwengo sio ishu mkuu wangu
Hahah akiona comment yako hii atamaindiNa anavyokipenda cheo chake. Pitia nyuzi zote za chaputa uone kama utamkosa. Na amekuwa main player mzuri kuhakikisha hakuna member anachepuka. He is brilliant.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Aaahhh wapi siku zote anatamani usirudi. Ile ban yako kwake ilikuwa ngekewa. Ila mkabidhi tu mikoba awe huru.Hahah akiona comment yako hii atamaindi
Kama mimi mkuu. Ila kuna mtu alinishauri nigonge nyagi. Sijawahi kutumia ila kwa kuwa niliambiwa ni tiba nilipiga huku nikikumbuka ule msemo wa "chungu lakini dawa".Daah kweli si mchezo mkuu,mwezi wa 1 nilipata mafua ya hatari sana,full kukohoa nikameza dawa za maji,mara amoxilin kitu bila bila baadae ikawa fresh,uzuri hapo mambo ya Corona yalikua hayajapamba moto sana la sivyo ingekua ni full mawazo.