Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
unapenda sana kulala?Natamani siku moja nilale kama mtoto.
Kuanzia saa 2 au saa 3 mpaka saa 22 bila kuamka.
Nilale kama mtoto na kukoroma kwa mbali kiaina fulani hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shusha procedures hizo halafu niku-evluate ndio utajua kama ni mtaalam wa hiyo anga.Famasia umesomea wapi ww uweze kujua kama mzigo ni vamba [emoji4]
Kaa hapa tukuondolee upwekeKuna habari gani Leo humu! Upweke unanitesa sana!
Kwani wewe umeelewa ni hapo kwa jamaa alivyochangia? Halafu pia angalia uhusika wako then unipe jibuAah nahusika vp tena na hayo maneno mzee wangu.
Ukichoka kupitiliza na ukaamua kujipa off ya siku upumzike huwa inatokea. Ila kama unataka zile za stress free ni ngumu kama umri ushasogeaNatamani siku moja nilale kama mtoto.
Kuanzia saa 2 au saa 3 mpaka saa 22 bila kuamka.
Nilale kama mtoto na kukoroma kwa mbali kiaina fulani hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua kichizi halafu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa kavu sana ujue.
Sidhani
[emoji23] Nimebreak rules mzee wangu kama Rihanna anavyosema kwenye run this town 'I break the rules so don't care So I keep doin' my own thing' hii corus ndio imeleta shida nikaingia mapema kabla ya muda.Umeanza mapema sana mzee yaani kama ulilisubiria bogi la weekend kwa hamu [emoji16]
Huyu sio kabisaUmeanza mapema sana mzee yaani kama ulilisubiria bogi la weekend kwa hamu [emoji16]
Huyu chalii ni matata kinoma hasa siku kama ya leoWewe jombaa mbona una mbwembwe sana na lindo
[emoji23][emoji23] leo umepewa kitu gani mzee..hii mood sio ya bure[emoji23] Nimebreak rules mzee wangu kama Rihanna anavyosema kwenye run this town 'I break the rules so don't care So I keep doin' my own thing' hii corus ndio imeleta shida nikaingia mapema kabla ya muda.
[emoji4] Unataka nitubu eti muulize mwamba nilimwambia nitamPM jinsi maelezo nilivyo njoosha mwenye kakubali mchongo.Shusha procedures hizo halafu niku-evluate ndio utajua kama ni mtaalam wa hiyo anga.
Kijana leo ana good mood..kuna kitu kapewa huyu leoHuyu sio kabisa
Humu ni kupoteza muda tu maana wengine tumeshalowanisha kitanda hakilaliki.Kuna habari gani Leo humu! Upweke unanitesa sana!
Mwaga hapa kama una uhakika na ulichokifanya. Mbona hujiamini chalii. Unaogopa ogopa utafikiri unaoga nje[emoji4] Unataka nitubu eti muulize mwamba nilimwambia nitamPM jinsi maelezo nilivyo njoosha mwenye kakubali mchongo.
Dah hongera sana, si kazi ndogo hioHumu ni kupoteza muda tu maana wengine tumeshalowanisha kitanda hakilaliki.
[emoji23][emoji23][emoji23] Basi sawa umesomekaUnazingua kichizi halafu