jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Aisee tupo. Mzima bibie
Nimepita kuwaangalia kama mpo salama
Aisee tupo. Mzima bibie
Nimepita kuwaangalia kama mpo salama
Wewe na Kichwa Kichafu, jana mlitoroka lindo, geti lilikuwa wazi mpaka saa 2 asubuhi............. Mtueleze yalowasibu!
ngoja aje asimulie maana sikumbuki kilichoendeleaMie mzima namshukuru Mungu kwakweli.Aisee tupo. Mzima bibie
Nawasiwasi alikunywesha bia alizokuwa ananiitia...........Ooooh hatutakupanga naye zamu tena![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ngoja aje asimulie maana sikumbuki kilichoendelea
Nafurahi kusikia hivyo and likewise hereMie mzima namshukuru Mungu kwakweli.
Sikumbuki kilichoendelea bhana acha akujeNawasiwasi alikunywesha bia alizokuwa ananiitia...........Ooooh hatutakupanga naye zamu tena
Kutokukumbuka kilichoendelea ni uzembe kazini..........ningekuwa na mamlaka ningekutumbua 🙂🙂🙂🙂Sikumbuki kilichoendelea bhana acha akuje
Uwiii hakuna reprimand letter?Kutokukumbuka kilichoendelea ni uzembe kazini..........ningekuwa na mamlaka ningekutumbua 🙂🙂🙂🙂
Hahaha mimi wala sina tatizo na wahenga, tatizo ni misemo yao ndo siielewiHiv hawa wahenga walikukosea nini? Maana kila msemo wao lazima uupinge!

Hili swali lako gumu sana ujue, ni sawa na kuuliza "Popo ni ndege au mnyama"Kwan uck tayari?

Saivi ukiwahi ukiwakuta popo waambie wasituchanganye kama misemo ya wahenga, waulize wao ni ndege au wanyama?Tena wa wa manane,kwa hiyo popo watupishe mabundi tunaingia kazini
Zama hizi tunatumbua tuUwiii hakuna reprimand letter?
Dada Mkuu heshima yako siku izi naona umekua njiwa kabisa, mapemaaa ndaniUko wapi jirani yangu leo???
Kichwa Kichafu popote ulipo embu ukuje huku
