Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Mkuu, naona dalili ya geti kubaki wazi, kunywa balimi mbili uvutevute kamuda
Mkuu, naona dalili ya geti kubaki wazi, kunywa balimi mbili uvutevute kamuda
Hakika hizi ndoto zimekuja siku mbaya. Lala tena unaweza uote vingine, ie vaisivesa

Ndio mamyYa bomba
Wewe unaleta harakati za heri punda afe mzigo ufikeMkuu, naona dalili ya geti kubaki wazi, kunywa balimi mbili uvutevute kamuda

Hahaha, wahenga sio watu wa kuwaamini kabisa, haijawahi tokea punda akafa na mzigo ukafikaWewe unaleta harakati za heri punda afe mzigo ufike
Kesho nani atabeba mzigo???![]()
![]()
![]()

hahahaha kesho itajijaza yenyewe bossWewe unaleta harakati za heri punda afe mzigo ufike
Kesho nani atabeba mzigo???![]()
![]()
![]()
labda walimaanisha utaukokota tu huo mzigo kama punda akifaHahaha, wahenga sio watu wa kuwaamini kabisa, haijawahi tokea punda akafa na mzigo ukafika![]()
Labda, hawa watu wametuachia misemo tata sana, Mara wanakwambia polepole ndio mwendo hapohapo wanakwambia chelewa chelewa utakuta mwana si wako.labda walimaanisha utaukokota tu huo mzigo kama punda akifa
na kweli. unaweza kuta walikua wanajibishana wao kwa wao hiyo misemoLabda, hawa watu wametuachia misemo tata sana, Mara wanakwambia polepole ndio mwendo hapohapo wanakwambia chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
Naam hunterHunter hunter
Sawa shem

Hiv hawa wahenga walikukosea nini? Maana kila msemo wao lazima uupinge!Labda, hawa watu wametuachia misemo tata sana, Mara wanakwambia polepole ndio mwendo hapohapo wanakwambia chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
😵😵😵😵😵 Kwahiyo walikuwa wakibishana tu, basi kila mmoja anaandika msemo wake?na kweli. unaweza kuta walikua wanajibishana wao kwa wao hiyo misemo
Tena wa wa manane,kwa hiyo popo watupishe mabundi tunaingia kaziniKwan uck tayari?
Hahahhahaha i like thatTena wa wa manane,kwa hiyo popo watupishe mabundi tunaingia kazini
Wewe na Kichwa Kichafu, jana mlitoroka lindo, geti lilikuwa wazi mpaka saa 2 asubuhi............. Mtueleze yalowasibu!Hahahhahaha i like that