Poa [emoji38][emoji38][emoji38] acha nikakutane naye huyo juma lokole.
Mkatoliki hujui maana ya Hilo neno..nawalakiniNdio nn? [emoji15]
Bora usiiyone [emoji38][emoji38][emoji38] mwana akutakii mema huyu.
Bora usiiyone [emoji38][emoji38][emoji38] mwana akutakii mema huyu.
Aminia sana[emoji38][emoji38][emoji38] hii ni project kubwa ujue huwezi acha ikipita kirahisi hivi.
Hapo ni akibofya digits it's just one call keshafika. Sasa upweke wa nini?Kashakupenda huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Drizzle mwana anabahati huyu.
Hapo ni akibofya digits it's just one call keshafika. Sasa upweke wa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha elekea kibra huyo, ni kugusa tu kama kuvuta hewa vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah mnanichekesha sana leo dah.
[emoji23][emoji23] yes rafiki..Sina usingiziRafiki umelala saa 8 umeamka saa 9 [emoji848][emoji848][emoji848]
yna2 inawezekana kuna factor nyingi yakawa yanaboa. Nikaribishe tufanye wote maombi uone yaani hakuna kulala ni kupokezana hadi kunakucha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora ya mtu mmoja..ya collabo yananichoshaga kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee naona kama uko interested nae kiaina vile.Poa [emoji38][emoji38][emoji38] acha nikakutane naye huyo juma lokole.