Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23] hv hawa ma mc wanatakaga nn unakuta shughuli imepamba yy anataka hela tu mezani.Ninafikiri upo.
Maana toka mchana mc anasema "nkija kumtunza mtoto baada ya kusoma au kutoa mada mnaacha 1,000 ya mwalimu ya kumkomboa mtoto"
Inautata sana lakini hii picha.
Ya 3 ni toka 2010 inamaana una games kama 6 haujazicheza ikiwepo ya 2018 jitahidi inayotoka mwaka huuu nahisi uicheze1,2 & 3 nimecheza ndio nilizo maliza.
Hahahaha[emoji23] hapo ssThat's pretty sure.
Wakati mwingine mpaka unajishangaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hata ile courage ya kuandika mahali na fekero hauna.
Acha kumdanganya[emoji23][emoji23] basi subiria muhamala kule kesho nije nile [emoji39]
Muda wa kucheza sasa ndio hakuna mwaka mzima unafanya kazi tu hata huo mpila sijacheza na mwaka sasa wana kila weekend wananiita kigamboni na wapromise nakuja lakini sijawahi tokea hata siku moja.Ya 3 ni toka 2010 inamaana una games kama 6 haujazicheza ikiwepo ya 2018 jitahidi inayotoka mwaka huuu nahisi uicheze
[emoji23] unauwakika gani kama namdanganya?
Nina uthibitisho wa kimazingira na uzoefu[emoji23] unauwakika gani kama namdanganya?
Basi umefeli mzee.
Utata gani tena mzee ?Inautata sana lakini hii picha.
[emoji23][emoji23] hv hawa ma mc wanatakaga nn unakuta shughuli imepamba yy anataka hela tu mezani.
Sijalicheza sana mm nmecheza sana devil may cry mpaka ya mwisho, na black listMuda wa kucheza sasa ndio hakuna mwaka mzima unafanya kazi tu hata huo mpila sijacheza na mwaka sasa wana kila weekend wananiita kigamboni na wapromise nakuja lakini sijawahi tokea hata siku moja.
ww umecheza mpaka ngapi mm navutiwa sana na story mode za God of War.