Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ngoja mm niwaite leo wote.Mimi nina uhakika huyu sio mod,hili tukio sio la kwanza kutokea nadhani wana mpango wa kuupoteza huu uzi....Sijui unawakera nini nashindwa kuwaelewa. Kuna mtu alishaanzisha uzi kam huu humu Alipewa vitasa hapa Akapotea nadhani ndio hawahawa wahuni.
Tumuite MOD aliekuwepo zamu leo ajibu tuhuma.Kama una filimbi hapo Ita walinzi wote,tuulizane vizuri kuna watu wanachezea lindo.
Utakuwa uhaini kabisaSana tu mkuu,Wanatujaribu.
[emoji23][emoji23][emoji23] yupo cookies tu wengine siwaoni wameshalala.Sana tu mkuu,Wanatujaribu.
Lazima kielewekePoa,mi leo sitoki hapa mpaka nipate mwongozo.
2:55 AM
03:18
Twende sambamba 03:28 hii hapa03:25