[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo creativity tu mzee mambo ya kusomea sio sana japo kuna vichwa vyenye elimu karee kuliko tutorial za youtube. Hapo ndo mtihani hujaDah hiyo coz naipenda sana lakini sijawahi somea Ila nilishafanyaga makubwa kidogo kupitia hiyo kitu wayback kidogo watu waliniona genius kumbe fala tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] shirika ambalo linatukanagwa sana na wananchi ni hilo Tz hapa what if ungekuwa unafanya kazi huko ungekuwa unajisikiaje? [emoji23]Hahaaaaa sihangaikii pesa hommie.. majukumu tu plus nilijipanga kukesha ila tanesco wamefanya yao na kasimu charge haisomi
Uko poa we mwanamke?0047hrs
[emoji23][emoji23][emoji23] YouTube huwa wanasaidia sana lakini sio channel zote ni useful nyingine wanataka viewers tu wapate hela basi.[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo creativity tu mzee mambo ya kusomea sio sana japo kuna vichwa vyenye elimu karee kuliko tutorial za youtube. Hapo ndo mtihani huja
Naona unatoa codes zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shirika ambalo linatukanagwa sana na wananchi ni hilo Tz hapa what if ungekuwa unafanya kazi huko ungekuwa unajisikiaje? [emoji23]
Sanaaa si kama wabongo tu na title zao "huwezi kuamini, mr villa adakwa tandika akitoroka ugoni guest house" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] YouTube huwa wanasaidia sana lakini sio channel zote ni useful nyingine wanataka viewers tu wapate hela basi.
[emoji38][emoji38][emoji38] wacha watu wafanye kazi zao ww men at work saiz unakuta muhimu anaangaika na former hukoNaona unatoa codes zako [emoji23][emoji23]
Wazee wa kufanya kazi night karee..
Kiukweli unaishia kutukana tu na kama hakuna alternative unalala kiroho safi
[emoji38][emoji38][emoji38] pumbafu lazima uache view hapo kwahiyo title ukiwa mpenda umbea na wanazipiga sana tu.Sanaaa si kama wabongo tu na title zao "huwezi kuamini, mr villa adakwa tandika akitoroka ugoni guest house" [emoji23][emoji23]
Daaahh kazi zingine mateso bro[emoji38][emoji38][emoji38] wacha watu wafanye kazi zao ww men at work saiz unakuta muhimu anaangaika na former huko
Ungewasaidia kabisa ungeweka na location ulipo mzee wangu.
[emoji23][emoji23] kama jombaa mmoja akaFAKE kuwa mtz aliyeshinda Americas got talent na akavuna views zaidi ya million ..wabongo [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38] pumbafu lazima uache view hapo kwahiyo title ukiwa mpenda umbea na wanazipiga sana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unalipuka ukiwa fala ujue kufa nje nje tu maisha ndio haya haya hakuna kitu kirahisi sasa utafanyaje.Daaahh kazi zingine mateso bro
Usiact unawasaidia raia akat ushaielewa khanga kwa avatar[emoji23][emoji23]Ungewasaidia kabisa ungeweka na location ulipo mzee wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha utani ww dah mwamba hapo namuona ana million zake kazaa dah unajua hivi vitu watu wanakula kizembe sana.[emoji23][emoji23] kama jombaa mmoja akaFAKE kuwa mtz aliyeshinda Americas got talent na akavuna views zaidi ya million ..wabongo [emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38] aah wapi hiyo trap imenikosa kabisa sijanasa kabisa humo mzee wangu.Usiact unawasaidia raia akat ushaielewa khanga kwa avatar[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] na alikuwa na video zaidi ya moja na watu wakaicheki fresh tu. Hapo kwenye malipo ndo sijawahi kupaelewa fresh[emoji23][emoji23][emoji23] acha utani ww dah mwamba hapo namuona ana million zake kazaa dah unajua hivi vitu watu wanakula kizembe sana.
Angle zako ukikamatika ntakufunulia files [emoji4][emoji4].. kiboko yako atafika[emoji38][emoji38][emoji38] aah wapi hiyo trap imenikosa kabisa sijanasa kabisa humo mzee wangu.