Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
[emoji23][emoji23] tezi dume we mzee akili zako unazijua mwenye.Nipo airport hapa hata hakuna mask. Labda nikifika kitaa. Ila wataogopa as if nipo kwenye operation ya tezi dume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinitafutie balaa mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila nataka nije nipate shot ya TAQUILA kidogo [emoji23]
Na wewe piaWakuu leo mimi nalala.
Baada ya kukesha hapa napumzika kwanza.
Niwatakie usiku mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wanaweza kunikimbia ofisi nzima. Bora nichili kitaa.[emoji23][emoji23] tezi dume we mzee akili zako unazijua mwenye.
Hiyo meza ya kibabe kweli hapo [emoji4]Hii VIP lounge haina watu wengi. Haya mafua nayapigia zile ngumu tu ili yakateView attachment 1354875View attachment 1354876View attachment 1354877
Sent using Jamii Forums mobile app
Balaa kitu gani ww weka chupa nzima hapo ya TAQUILA mezani hapo kiwake [emoji23][emoji23]Usinitafutie balaa mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo uonyeshe umwamba hapa. Imenitoka dolla 20 dadeki.Hiyo meza ya kibabe kweli hapo [emoji4]
Ukikosa mask chill tu kama vp.
[emoji23][emoji23] kukaa hapo au hizo shot ulizopiga?
Balaa sio kwenye chupa, balaa ni ule mtiti utakao uanzisha hadi nikufunge kamba. Hayo mavitu kwako ni mtihani.Balaa kitu gani ww weka chupa nzima hapo ya TAQUILA mezani hapo kiwake [emoji23][emoji23]
Nitacheki. Ila hii flu ni msala dadeki.Ukikosa mask chill tu kama vp.
Hiki kichwa sio GB ni TB acha uwoga naweza handle hilo balaa mzee [emoji4]Balaa sio kwenye chupa, balaa ni ule mtiti utakao uanzisha hadi nikufunge kamba. Hayo mavitu kwako ni mtihani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Treatment yake huwa mpaka upone inachukua siku ngapi kwani?