ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,114
Ni legend of the seeker mzee wangu alikuwa anitwa Darken Rahl aliwatesa sana wakina Richard na mother confessior.
[emoji23][emoji23][emoji23] dah umenichekesha ujue, huyo bibie wa kubeba huo mzigo unamtolea wapi saiz ujue huo mtihani!
Haya mambo ujue mkishayaanza mpaka mje mkaemezani muongee kuhusu peace washapotea watu wengi sana.
Hiyo ni moja ya series ambayo sikuvutiwa nayo kama sasa hii SEE nimeipiga chini siangalii tena nimeangalia two episodes imenipoa teyari.Itakuwa nimemfananisha na yule jamaa kwenye game of thrones alikuwa kama na magic power flan,alimwambia arya make three wishes.....
Na ww ni father?Wako wengi sana mpaka tunawakimbia mkuu
Hiyo ni moja ya series ambayo sikuvutiwa nayo kama sasa hii SEE nimeipiga chini siangalii tena nimeangalia two episodes imenipoa teyari.
Na ww ni father?
Hongera yako ss ndio kwanza tunapandisha ngazi ww ulishafika juu mapema huko kwa elevator.Ndio mkuu mwaka huu nategemea mjukuu
Kwann haikukuvutia au? saiz sijui itakuwa ipo season ya 9 au 8.Mwenyewe pia hiyo game of thrones nimeishia season ya pili nikaacha
Hahahaha
Hahahaha, bado Mkuu
Hebu rudi ndani tumalize maongezi
Malizana na aliyekuita baby kwenye hiyo sms uliyoifuta.Hebu rudi ndani tumalize maongezi
Sijafuta kitu myluv