I see. Umenifanya nifikirie bila jibu la uhakika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] jinsi navyo vaa huwa nikicheza mziki basi nitaharibu kila kitu maana ninamiuno hata ya kangi lugola haingii ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lindo linapwaya, bila wale lindo halindiki.
wako smart sana kwenye promise ukizingua usipo tokea wanaumia sana.Uzuri hawa wa huku hawana sioi nitumie ya bajaji au boda2. Mkipanga mmepanga hakuna longolongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atupie na kapicha wengine akina tomasoHuwa unavaa vipi sasa bro [emoji23][emoji23]
Karibu mkuu muda sio mrefu nawaachia lindo..shift yako mkuu natasign out
[emoji23][emoji23] suti alafu huwa inaniletea joto kinoma sana ukishaingia dance floor pale ukishaanza kucheza jasho hili hapa inakuwa balaa tena hilo.Huwa unavaa vipi sasa bro [emoji23][emoji23]
Hili wazo zuri maana nimeshindwa kuvuta picha
Ni kweli, ila kwangu no matter what, kula ndio first priority. Na misosi iwe varieties na ila ladha.True bro sema wengine ni malezi tu. Kuna places kula sio priority hivyo unakuta wanakuwa average kiupishi
Ee kabisa sasa kwakuwa umechelewa utaenda kulinda jangwani pale kwenye kituo cha mwendokasi.
Nikajua unapeleka nyumba ndogo [emoji3][emoji3][emoji3]Vinaliwa mzee mm chakula chochote napika nikiwa moro napika sana kushinda nikiwa huku dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's truewako smart sana kwenye promise ukizingua usipo tokea wanaumia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] daah unapenda sana mbuzi we kijana.Kwani nimesema moro sitakuepo [emoji4][emoji4]..
Au na ww unablanket lako huko unataka uwahi saiz? [emoji23][emoji23]Af leo hata kamood kalindo kapo down..kichwa kizito tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu wasilisha hapa unachofikiria.I see. Umenifanya nifikirie bila jibu la uhakika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia blanket chapa keAu na ww unablanket lako huko unataka uwahi saiz? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa hapana broder... nishasanda saa hiiAu na ww unablanket lako huko unataka uwahi saiz? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
unaibiwa huko teyari hujui wake zako wako wapi saiz we mzee ww!Wakija mnistue, ngoja niende kwa mke mdogo.