Mzee wa menyu [emoji16][emoji16].. uliruka kweli hata aina ya chakula kweli[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikupe picha ya mwisho ya last party nilioenda View attachment 1345906
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa sio mtu mzuri hata kidogoOgopa hizi namba zinazojifanya descent.. wanakulaga kimasikhara [emoji16]
Mimi kiukweli mwanamke akijua kupika ni plus maana huwa ananimotivate kumfuata,
[emoji23][emoji23][emoji23] niliruka maana kulikuwa nakila ushenzi mara njegere za mayonnaise, maharage ya nn sijui vingi niliskip mzee wangu.Mzee wa menyu [emoji16][emoji16].. uliruka kweli hata aina ya chakula kweli
Kidate weekend siku ni j1 kama mambo hayajaharibika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu ngoja [emoji113]kwanza ulipika wali na samaki teyari au bado?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh utakuwa muoga muoga wa vivutio wewe [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] kula ndio kila kitu mziki kilamtu atacheza akishashiba kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hizo mbogo juu tu na nyama na wali msiogope sana wanangu.
Bhasi bado sana mkuu.. Dom unaondoka after two years unakuta mabadiliko, kwa interval ya 10 yrs vingi vimebadilika sana brother yaani fanya ukatembee
Kigezo no 1 ni ajuwe kupika. Hata washkaji ukiwa karibisha skani huna shaka kuhusu misosi.Mimi kiukweli mwanamke akijua kupika ni plus maana huwa ananimotivate kumfuata,
nakumbuka back in boarding school A'level, unaletewa msosi hata roommates wanatamani kumuona aliyekipika, huoni ni raha mkui [emoji16][emoji16]
Sitegemei dissapointment yeyote kutoka kwako utatuwakilisha vzr mabaharia wote kutoka Tz kama vp epe yai irudiwe tena [emoji23]Kidate weekend siku ni j1 kama mambo hayajaharibika [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwann!Ahhh utakuwa muoga muoga wa vivutio wewe [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] remember one rule is to stick to the plan.Sitegemei dissapointment yeyote kutoka kwako utatuwakilisha vzr mabaharia wote kutoka Tz kama vp epe yai irudiwe tena [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ziara huwa naifuraiaga nikiwa moro kaka yangu akipita akitokaga huko huwa akosi dumu la mafuta ya alizeti, zabibu na paja moja kubwa lambuzi lazima aniachie akipita hapo.Bhasi bado sana mkuu.. Dom unaondoka after two years unakuta mabadiliko, kwa interval ya 10 yrs vingi vimebadilika sana brother yaani fanya ukatembee
Labda mwezi wa 9 huko tukijaliwa uhai naweza pata muda nikaenda huko.
Na ukitegemea familia niliyonayo. Kama hajui itabidi apigwe brush kwanza kabla ya kutambulishwa ukweniKigezo no 1 ni ajuwe kupika. Hata washkaji ukiwa karibisha skani huna shaka kuhusu misosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unaona aibu kwenda kucheza [emoji23][emoji23].. nashukuru Mungu kwenye familia yangu labda mm kidogo ndo nna aibu wengine wakishafyatuka kwa gambe.huez ongea kitu