[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku kwenyewe pasua vichwa kinoma. Ila ni understanding kuliko wabongo. Pia hawana vizinga vya kiboya.Drizzle atakuchagulia wife material kutoka US. Hao unaowajua ni hit nd run. Nakujua ww
Asante mkuu,nimeona niwape hi hapa,japo nitapotea nipo safarini mkuu,tunapumzika mkuu
Unapewa au ww ndio unatoa?Nasubiri dakika 13 tu
Talaka
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona sasa mm ni black mzee wangu.Ha haa
Tabia ya watu weupe hiyo.
Na kama unapenda misosi mizuri bora ubaki bongo mzee, huku ukikaa siku 2 umekonda.Acha nibaki bongo land mm heka heka siwezi mm [emoji23][emoji23][emoji23] dah nakumbuka heka heka zangu mpaka na cheka mabalaa acheni tu.
Hadi uoe, tutakuwa tunakutana maeneo mingine nikikupa leso ya kufuta machozi pale wife akizingua.. nakujua damu yangu ni love sick[emoji23][emoji23][emoji23] nikioa sitakesha sasa humu.
Bibie alikuwa na bwana ake ambae hakuwepo kwa muda mrefu kidogo na hakuniambia kabisa yani mwanaume nikaanza michakato ya kuweka ndani mtoto mzuri afu jamaa ake akaludi ilikuwa noma na nusu aise sina ham tena na kitu kuoa walahi[emoji28][emoji28][emoji28]
Safiri salama mkuu.Asante mkuu,nimeona niwape hi hapa,japo nitapotea nipo safarini mkuu,tunapumzika mkuu
Anitafutie Canadian au Brazilian hawa ndio ninao wakubali huo mseto wa USA siutaki.Drizzle atakuchagulia wife material kutoka US. Hao unaowajua ni hit nd run. Nakujua ww
Shuka lenyewe halifai pia maana joto la kutosha[emoji28][emoji28]Mzee una majanga.. em vuta mtoto wa kiluguru akupoze machungu maana hadi saa hii upo lonely na shuka tu
Miaka ya mwanzo utashika hii nia yako, as days goes by utakesha tu, upende usipende.[emoji23][emoji23][emoji23] nikioa sitakesha sasa humu.
Mapema mbona.Mimi nilkuwa napita tu ngoja niwaage wadau.
Usiku mwema.
Umetutenga sana ujue mzee wangu.Nimepita niwape salamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usilale kwanza embu chalaza hiyo makala hapa kwanza nn kilikukuta mzee wangu?
Asante mkuu
Kuna kazi nataka nifanye ingawa akili imechoka.Mapema mbona.
Mambo mengi mkuu,maisha yanakaba so najaribu kupambana nayo.....kama saizi nipo barabaraniUmetutenga sana ujue mzee wangu.
Unapewa au ww ndio unatoa?
[emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo sogea karibu kabisa ni siku ya hasira hasara tu hapo.Ushanambia. Imeandikwa kwa diary na nshaeka booking. Siku ukiwa upset nikupe kampani ya menu
Sasa hao watamfaa huyu jombaa. Anajifanya kavu sana na hapendi ujinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku kwenyewe pasua vichwa kinoma. Ila ni understanding kuliko wabongo. Pia hawana vizinga vya kiboya.
Sent using Jamii Forums mobile app